Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,202
- 2,001
Kiwanda cha Sukari Kagera Sugar cha mkoani Kagera kimetoa ofa kwa mashabiki wa Simba Sc a.k.a mikia na wapenzi wa soka kutoa ofa ya kiroba kimoja cha sukari lakini kwa sharti la kuagiza kupitia Basi la timu hiyo,Mwenye namba ya Kagere anicheki_PM nipate Sukari,mfungo wa Mwezi Mtukufu upo karibu...