Nkashilingi
Member
- Jul 21, 2009
- 8
- 0
Hello wana JF,
Happy new yr,
Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako, unafaidika nn??? sana
sana unaonakena mshamba tu,
Ni hayo naomba kuwasilisha.

of course inategemea they way mlivyoachana. Kanuni zasema kwenye action kuna reaction inayopingana na action. Hakuwezi kukawa na reaction bila action.
Hello wana JF,
Happy new yr,
Kuna rafiki yangu wa kike jina z kaachana na mchumba wake, sasa imekuwa tabu kweli huyo mwanaume anamtangazia vibaya dada wa watu eti ohooo demu kicheche nk, sasa nauliza hivi nyie wanaume wenye tabia hizo kwani kuna ulazima gani wa kuanza kumsema vibaya x wako, unafaidika nn??? sana
sana unaonakena mshamba tu,
Ni hayo naomba kuwasilisha.
Hata kama mkiachana kwa namna gani si vyema kuesmana vibaya ni upumbavu na utoto pia.Kwani ukimsema vibaya ndio itabadilisha ukweli?lakini tukumbuke kwamba wakati mwingine watu wanaoachana huwa wanarudiana na hata kufunga pingu za maisha kama sio ya Jerry Muro,hivi mkirudiana inakuwaje?
Kwani mwanzo walipoanzana hakuona huyo demu ni malaya mpaka uje kupakazia mbovu baada ya kuachana. Ni ushamba tuu na kukumbukia matamu aliyokuwa anayapata kutoka kwa huyo demu. Wajaja husifia ili wengine wakijipeleka wanakuta kweli holaaa!