Ukiachwa achika using’ang’anie usipopendwa

Duh, kwa hiyo walimu wanaofundisha sasa hivi walisoma miaka ya 90 huko wanafundishaje na vitabu karibu vyote ni vipya wakati wao wanasoma havikuwepo?
Huwezi kufundisha kitabu hujakisoma!
 
Kuachana si rahisi hasa kwa upande uliopenda zaidi
 
Shida so kuachika ukaacha shida ni kwamba wakati mnapendana ulikuwa unamdang'anya tuuuuuu leo umemchoka unataka kirahisii tu umuache hapohapo akuache hiyo haiwezekani vumilia kung'ang'aniwa hata kurogwa pia kubar
 
Kupenda na kuacha pia sio jambo zuri maana utajikuta unayaingiza maisha yako hatarini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…