Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Ndio huyohuyo mzee baba padreHivi ni Pastor au Padre yule? sijui kina Joti!
Kitambo sana.. zaidi ya miaka 17 iliyopita!Ndio huyohuyo mzee baba padre
Sasa kama hakuna za mchangani si lazima kuna mda utajifeel upweke hasa ukiona mwenzio anaenda kuukalia kila weekend kwa jamaa yake.😅😅😅utatoaje sasa wakati hakuna mtu jomoniii
Walaa..yeye akakalie tuu huo mti ngozi wake...beach zote hizi town huwezi kuhisi upweke kwa viwango hivyo extro 😊Sasa kama hakuna za mchangani si lazima kuna mda utajifeel upweke hasa ukiona mwenzio anaenda kuukalia kila weekend kwa jamaa yake.
Duuuh...Kitambo sana.. zaidi ya miaka 17 iliyopita!
Na kwa hio avatar, inabidi tutoane upweke tu naona ipo haja kabisa. Mfungo ushaishaWalaa..yeye akakalie tuu huo mti ngozi wake...beach zote hizi town huwezi kuhisi upweke kwa viwango hivyo extro 😊
Kwani nawewe single kama mimi??Na kwa hio avatar, inabidi tutoane upweke tu naona ipo haja kabisa. Mfungo ushaisha
wewe si binti mdogo!Duuuh...
Kwani nawewe single kama mimi??
🤗
Asiwe pasua kichwa tuu...🤓Changamka,mchumba ndio huyo,kaja sasa 😁
Mm nilikisoma miaka 10 iliyopita...nikiwa form three Bwewe si binti mdogo!
Pigia mstari hapoKwani nawewe single kama mimi??
🤗
HahahahPigia mstari hapo
Haya mazungumzo nayafatilia hatwaaariiii,Pigia mstari hapo
Unayafata hadi wapi?😂Haya mazungumzo nayafatilia hatwaaariiii,
Kumbe Mtoto mdogo Miaka 26/27Mm nilikisoma miaka 10 iliyopita...nikiwa form three B
Ukuje tuyajenge kule, hapa paparazi washaanza macamera!Hahahah
Hahaha eti mtoto mdogo...hivi tunachoangalia ni ukomavu au namba??Kumbe Mtoto mdogo Miaka 26/27
Nakuona nakuonaNa kwa hio avatar, inabidi tutoane upweke tu naona ipo haja kabisa. Mfungo ushaisha
Nimeonaa😂nakujaa...Ukuje tuyajenge kule, hapa paparazi washaanza macamera!