Ukiacha mapungufu yake mengine, Lowassa ni mwanasiasa ambae ni very civilised

Sana, jamaa amejaliwa hekima na busara, hata kujiuzulu kwake ni busara zilizomuongoza otherwise angeweza kumaliza na mkwere akiwa PM
 
..mmesahau siasa chafu za kundi la WANAMTANDAO lililowahusisha Kikwete, Lowassa, na Sitta?

..watatu hao walikuja kukorofishana ktk mgao wa madaraka.

..Nadhani upole wa Lowassa unatoka na kudhoofika kwake kiafya. Miaka ya 90,95, 2005, alikuwa mwanasiasa machachari na mwenye vijembe.

..
 
Back
Top Bottom