Ukeketaji


Mkuu, mshauri asiende---ukeketaji ni mbaya sana kwa watoto wa kike. Ikibidi waelimishe wazazi wake kuhusu madhara ya ukeketaji kama wasipoelewa waripoti dawati la kijinsia--hatuwezi kuona binti anaharibiwa utamu hivi hivi tukakaa kimya! Lakini sijakupata vizuri hapo kwenye red mkuu.
 
Yeah kes coz watamfanyia ktu ambacho hayupo willing nacho.ts violation of human rights

Duuuhh huyu mama yake anatafuta matatizo maana hata shule mtoto hakumpeleka na bado analeta balaa lingine.
 
Mkuu, mahsuri asiende---ukeketaji ni mbaya sana kwa watoto wa kike. Lakini sijakupata vizuri hapo kwenye red mkuu.

Yaani anasema wakiwa wamepanga kukufanyia tohara....mfano upo nje na shughuli zako unatumwa ukachukue kitu ndani basi wanakukamatia humo kukushughulikia.
 
mila na tamaduni ni ubombo(bone marrow), elimu ni vinyweleo tu.

Hakuna elimu inaweza.badilisha fahari yako ya kitsmaduni. Mie bora nilale chini ila ng'ombe niwe nao walau 1000.

Huyu kaanza kuelimika baada yakuona baadhi ya vipind kwenye tv vinavyopinga ukeketaji na kusema madhara yake.

Kuhusu kukaririshwa ni kweli coz kasema wanaotoka kukeketwa ukiwauliza habari za huko wanasema yaani huko ni raha sana.
 
Teh teh teh tuma maombi tu....kuna usaili utaendeshwa na Kaizer, Asprin, IGWE na ba kalumbu bhangu bhosa.

Huwa napenda kujieleza kwa vitendo, hao watasema na ng'ombe 40! Nadhani hiyo itakuwa zaidi a maelezo. Mkono mtupu haulambwi mama.
 
Last edited by a moderator:
mwambie tuhuyo binti asijaribu kwenda serikali imepiga marufuku.....atakamatwa atafungwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…