Saizi kila kitu ni sawa isipokuwa Corona tu ndiyo hairuhusiwi!
Means, ugonjwa wa Corona unasababisha hata matukio mengine yasiongelewe kabisa na kusahaurika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kbisa mkuuKwann umuondoe mwanamke Utamu ??
Kwakweli Ukeketaji haufai, na upigwe vita koteekote.
Sisi binadamu ni wa ajabu, Mungu alipoweka "clitoris " alikuwa na kusudi lake! Unakiondoa! Mkatubu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aiseeMkono wa sweta unatolewa kwani unakusanya unga ambao ni uchafu . Mungu alikosea kuweka hiyo sweta , angeumba tena upya huo mkono anaupiga chini
Sent using Jamii Forums mobile app