UKAWA yatikisa mamia CCM Singida wahamia CHADEMA katika operation delete CCM

UKAWA yatikisa mamia CCM Singida wahamia CHADEMA katika operation delete CCM

Kama habari imekuudhi,tulia.
Watu kutoa taarifa za mikutano ni maji taka?
Kukariri kwingine kubaya!
Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka.
 
Tatizo hatujiandikishi kupiga kura. Tukajiandikishe jamani.
 
Back
Top Bottom