UKAWA yatikisa mamia CCM Singida wahamia CHADEMA katika operation delete CCM

UKAWA yatikisa mamia CCM Singida wahamia CHADEMA katika operation delete CCM

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
Delete-CCM-November22-2014.jpg



Moto uliowashwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unazidi kutikisa. Kundi la wanachama wa CCM katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chadema wakati wa kiapo cha uzalendo, muda mfupi baada ya kujiunga na chama hicho kwenye moja ya mikutano ya ‘Operesheni Delete CCM' iliyohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa wiki.
 
Inatia hamasa na furaha kuona watanzania wanaamka dhidi ya ufedhuli!
 
Singida Kaskazini mbunge wake nani ?.
 
Delete-CCM-November22-2014.jpg

Moto uliowashwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unazidi kutikisa. Kundi la wanachama wa CCM katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chadema wakati wa kiapo cha uzalendo, muda mfupi baada ya kujiunga na chama hicho kwenye moja ya mikutano ya ‘Operesheni Delete CCM’ iliyohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa wiki.


Nyalando inatosha atoke sasa
 
Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka.
 
CCM inasikitisha kwa kweli!! Bungeni Shuruba, Mtaani Shuruba, kwenye makongamano nako ni SHURUBA.
 
Hili sakata la Escrow usidhani kuwa watanzania hawalijui...na lina athari kubwa sana.
habari zinazunguka haraka sana kuringanisha na miaka ya nyuma - hili nalo linasaidia sana kutoa elimu ya uraia. Huwezi kuamini hadi vijijini sakata hili wanalifuatilia kwa ukaribu mkubwa!!
 
Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka.

Utaelewa tu mkuu maana UKAWA wao ni gari la matangazo linapita then watu kesho yake wanakuja wao kwa gharama zao kwenye mikutano lakini upande wa pili yaani CCM wao wanatangaza na kubeba watu kutoka maeneo tofauti na mkutano unapofanyika. So hesabu rahisi ni kwamba CCM ishakataliwa.
 
Utaelewa tu mkuu maana UKAWA wao ni gari la matangazo linapita then watu kesho yake wanakuja wao kwa gharama zao kwenye mikutano lakini upande wa pili yaani CCM wao wanatangaza na kubeba watu kutoka maeneo tofauti na mkutano unapofanyika. So hesabu rahisi ni kwamba CCM ishakataliwa.

Kama wana nia kweli kunyakua viti waje vijijini kuhamasisha watu wajiandikishe kwenye daftari zoezi lililoanza jana,tofauti na hivyo wataandamana na watapigwa tu na mimi nasema wapigwe tu maana mimi na Pinda tumechoka.
 
Je, wanavyo vitambulisho vya kupiga kura?

Je. siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu pia watajitokeza kwa wingi kama hivyo KUPIGA KURA.

Kama UKAWA mtaweza kuwashawishi wananchi kwanza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Pili kama UKAWA mtaweza kuwashawishi wananchi hao kujitokeza kwa wingi, kama wanavyojitokeza kwenye mikutano yenu siku ya kupiga kura, basi make no mistake comes October 2015, mtakuwa chama tawala cha Taifa jipya la Tanzania.

UKAWA you have ONLY two stumbling block
  1. Low rate of voters registration
  2. Low rate of voters turn out.
Shughulikieni na mambo hayo mawili makubwa. Siku voters registrationnchi hii ikafikia 90% na Voters turnout rate ikafikia at least 80%. CCM kitakuwa chama cha upinzani nchi hii. Low voters registration and low voters turnout usually favors CCM, kwasababu CCM wana supporters wachache but very fortunately or unfortunately they are VERY ROYAL TO CCM. Supporters wa CCM wote hujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Pili Supporters wa CCM wote hujitokeza siku ya kupiga kura. Supporters wa CCM wanafahamu thamani ya kura yao. Hiyo ndiyo tofauti kubwa ya supporters wa CCM na UKAWA.
 
Mara CCM yafanya kufuru mara CHADEMA/UKAWA yafanya mkutano wa karne!!! tumwelewe nani sasa?? wananchi tumechoka na siasa za maji taka.

ACT TANZANIA uyu apa au? naona ameshikwa na tezi jike ya ubongo.
 
Singida tumebadilika,hatudanganyiki hata kidogo.Tunaomba mwenyr ile list ya wafaidika wa mgao wa hela za Escrow watuangalizie mgao wa Nyalandu ulikuwa kiasi gani?
 
Ukawa yafanya kufuru ccm wahamia chadema
ukawa=chadema?
Or
ukawa = muunganiko wa vyama vya upinzani?
Ufafanuzi tafadhari.kwa anaeelewa.
 
Back
Top Bottom