UKAWA yaiponza CHADEMA

UKAWA yaiponza CHADEMA

Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.
umebemend....wa ndo mana huinuki.
2 unazijua weyee mburula
 
Hatuna shida na katiba kwa sasa siyo hitaji letu watanzania kwani katiba mpya ikipatikana wanawake hawazaa kwa uchungu au maji ya mifugo wetu na sisi wenyewe yatakuwepo kila sehemu?

hilo nenda kamuambie mwenyekiti wako na sio kutuletea uendawa...zimu wako na uchumia tumbo wako kwenye hoja za msingi hata juha wewe.
 
Back
Top Bottom