UKAWA yaiponza CHADEMA

UKAWA yaiponza CHADEMA

Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.

sasa kama ukweli unaujua mbona li chama lenu na li serekali lenu halitekelezi ahadi zake wamebaki kuiba kodi zetu na ku saini mikataba ya hasara kwa taifa?ktk hili ukawa wako sahihi wana wa nchi twataka katiba mpya pumb...aavu zenu.
 
Watu wote hawa wanasema maoni yaliyopo kwenye rasimu hawayajui kamuulize warioba kayatoa wapi au kanisni kwa slaa.

haya matapish peleka lumumba kahaba wewe.,hv nyie ccm na mawakala wenu nan kawaloga?tume mmechagua wenyewe mkategemea mzee warioba na timu yake watakua wanafiki na kulinda lichama lenu kumbe mzee na timu yake wamekataa kua sehemu ya laana,pesa na kod zetu kibao zimepotea leo mna mtukana warioba eti ni mlaghai kaleta maon yake,mbona jk alisaini kwa mbwembwe kama alikua hamuamin mzee wetu kwann alimteua kwenye mchakato huo?cku wana wa nchi wakiamua iwe mbaya hamtasalia hata mmoja wenu na familia zenu,tz ni yetu sote sio ya ccm na makada wake.
 
kwa hiyo unataka tuchangie mambo unayoyapenda?

1. Ulitaka kanisani wajadili nini

2. Pinda alifuta nini kanisani

3. kwanini mashekh, wachungaji na maasikofu wamejumuishwa kwenyemchakato na wanamuwakilisha nani bunge la katiba?

4. katika swali namba 3, watakaporudi kutoka bunge la katiba watatowa feedback kwa nani na mahalagani watafanya hivyo

angalia ujinga wako kwenye comment yako hapa chini.



quote_icon.png
By laki si pesa

naona katiba imehamia kanisani sasa
 
Upumbavu ni kutaka kuwaamisha watu kuwa chadema ndio imeshika turufu ya kukwamisha Katiba Mpya, hayo ni mawazo ya kizuzu. Ukweli ni kwamba CUF ndio wameshika turufu ambayo inafanya theluthi mbili isipatikane na sio CDM. Hapa wakubembelezwa ni CUF na wala si CDM wala maaskofu.
 
1. Ulitaka kanisani wajadili nini

2. Pinda alifuta nini kanisani

3. kwanini mashekh, wachungaji na maasikofu wamejumuishwa kwenyemchakato na wanamuwakilisha nani bunge la katiba?

4. katika swali namba 3, watakaporudi kutoka bunge la katiba watatowa feedback kwa nani na mahalagani watafanya hivyo

angalia ujinga wako kwenye comment yako hapa chini.

hueleweki..viongozi wa dini wanatakiwa wajadili katiba bungeni, sio kanisani
 
Hatuna shida na katiba kwa sasa siyo hitaji letu watanzania kwani katiba mpya ikipatikana wanawake hawazaa kwa uchungu au maji ya mifugo wetu na sisi wenyewe yatakuwepo kila sehemu?
Weee zero kabisa hujui hata correlation ya katiba na uwajibikaji kwa wananchi....jiulize kwa nn mpaka sasa hatuna permanent supply ya maji??? Akili za kupiwa na wauza unga weeee
 
Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.

Kweli kabisa.. Serikali ya Tanganyika na serikali ya muungano yenye makao makuu UNGUJA.
 
sasa kama ukweli unaujua mbona li chama lenu na li serekali lenu halitekelezi ahadi zake wamebaki kuiba kodi zetu na ku saini mikataba ya hasara kwa taifa?ktk hili ukawa wako sahihi wana wa nchi twataka katiba mpya pumb...aavu zenu.
Unakwama wapi wakati nchi nzima lami tupu.
 
Huyu Isango naye ni kilaza kweli eti CDM ndo inaongoza UKAWA !! hivi hajui kwamba wanaoweza kukwamisha mchakato wa katiba mpya ni CUF pekee??
Ukiangalia ukiangalia wajumbe wengi wa BMLK wanaotokana na CDM wengi wao wanatokea bara na kwa upande wa bara hata wasipohudhuria hawa wajumbe wanaotokana na CDM hawawezi kukwamisha mchakato kwa maana watakaobaki bungebi wanafika robo tatu
Ugumu unatoka kwa CUF ambacho kina wajumbe wengi kutoka Zanzibar na hao ndio wanaweza kukwamisha mchakato maana wasipohudhuria hao wazanzibar hawawezi kufika robo tatu
 
Tatizo la wabunge wa ccm hakuna aliyetayari kusimamia ukweli na kuueleza hadharani kwa viongozi wao juu ya uchakachuaji wa maoni ya wananchi!

Ni chumia tumbo,unategemea watafanya jambo gani against na mkubwa wao anayewapa ugali?
 
Mnafiki na mzandiki namba one wa swala la katiba ni kikwete, maana alionyesha unafiki wake waziwazi bungeni na hata nguvu kubwa uliyotumika kutofuatwa kanuni ili kumwezesha atoe hotuba yake kama mchangiaji inadhihirisha kuwa kikwete ni mnafiki na mzandiki . Mwinjilisti amesema ukweli ambao hakuna anayeweza kuufuta. Mungu ambariki sana huyu mwinjilisti. ningekuwa namfahamu ningempelekea zawadi kwa kusema ukweli tu. Ni mkweli daima na anasimamia haki. Watanzania tunataka maoni yetu yaheshimiwe kama ambavyo tume ya warioba ilivyoyaheshimu maoni yetu.
 
Huyu bwana wa Assemblies of God yuko safi sana.

Hawa wakatoliki wangekuwa wawazi namna hiyo katiba mpya ingepatikana tena iliyobora.

tuujadili na kuusema ukweli, tukemee uwongo na unafiki na tuepuke kujipendekeza kwa watawala na chama chao.
Ndio maana kuna baadhi ya waumini wa dini fulani husema Hao mapadre na maaskofu wanawahadaa watanzania. Maana hakuna sehemu katika vitabu vitakatifu inayoruhusu kiongozi wa dini kutosema ukweli eti kwa kuogopa utawala.
Kama ndivyo nadhani kina nabii musa wasingedhubutu kumkemea farao. Hebu viongozi hao wa dini wajitathmini upya imani zao.
 
Ngoja waukaze utawakatikia wala hawatapata kitu watanzania wanataka maji,shule,afya na kazalika siyo katiba hata hivyo mbili zatosha.
...maji na shule mnaweza kuleta...? na aliyekwambia mbili zinatutosha ni nani...? wakati warioba,ofisi ya rais,makamu wa rais, waziri mkuu wameona tatu zatosha,wanafiki kweli nyie...
 
Back
Top Bottom