UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

UKAWA yaanza kupasuka mdogomdogo

Omary Kipingu

Member
Joined
Feb 22, 2016
Posts
40
Reaction score
48
UKAWA yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali CCM, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha UKAWA. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi CCM, Leo tena Mwapachu aliyeihama CCM kwa mbwebwe na kwenda UKAWA arudi kwa mwenyewe CCM, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE Mgeja na wenzake baadhi wanachama wa CHADEMA tegemeo watajiunga CCM ili kuudhihirishia umma wa Tanzania kuwa sasa CCM ya Mwl imerudi. Hali hii imemfanya Mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa Magufuli unaowavuta wengi CCM. POLE SANA HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA

Kaka UKAWA iko kwenye mioyo ya WaTz kwa sababu. Hizi mbwembwe za Lumumba zitapita lakini makusudi ya ukawa yatasimama.

Magufuli hata kama ni mzuri kumbuka ni mwanadamu. Taasisi zetu bado ni kubogoyo.
 
kama ulikuwa umeota nakushahuri rudi ukalalae ili uote tena. yaani utaota ndoto nzuri sana
 
Sasa kaa hapo usubili ukawa kama utaisikia tena, wenye akili washastuka gemu LA ukawa linaenda doda, hali tete, katibu mwenyewe mpya hana mvuto wa kisiasa wala mmashiko kwa jamiim
 
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
 
mbn el nae yupo mbioni tu
 
Sasa kaa hapo usubili ukawa kama utaisikia tena, wenye akili washastuka gemu LA ukawa linaenda doda, hali tete, katibu mwenyewe mpya hana mvuto wa kisiasa wala mmashiko kwa jamiim
Mwenye mvuto ni yupi ndovu lager master?
 
Mzee Mwapachu hajafanya vibaya yuko sahihi.....lakini kwa Muungwana angekufa na tai yake shingoni.Kamwe asingekula matapishi.Hata hivyo umri umekwenda.
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA NYUMBU HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Wigo wa buku saba wazidi kuongezwa. Hata ukihadithia ulichoota wala.
 
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
 
Kaka UKAWA iko kwenye mioyo ya WaTz kwa sababu. Hizi mbwembwe za Lumumba zitapita lakini makusudi ya ukawa yatasimama.

Magufuli hata kama ni mzuri kumbuka ni mwanadamu. Taasisi zetu bado ni kubogoyo.
Makisudi ya ukawa yapo ila tumeruhusu mamluki kutoka ccm kuendesha ukawa,hii iliyopo haiendeshwi na majemedari walioiunda pale dodoma inaelekea kushoto badala ya kulia....wenye ukawa waliondolewa!
 
Ukawa yaanza kupasuka katika hali ya kushangaza wanachama wengi wachadema waobesha hali ya kuikubali ccm, hii ni dalili tosha kabisa ya kifo cha ukawa. Week iliyoopita wanachama zaidi ya mia hamsini walikihama chadema na kurudi ccm, Leo tena mwapachu aliyeihama ccm kwa mbwebwe na kwenda ukawa arudi kwa mwenyewe ccm, na tetesi zinaonesha kesho pia SAA NNE mgeja na wenzake baadhi wanachama was chadema tegemeo watajiunga ccm ili kuudhihirishia umma was tz kuwa sasa ccm ya mwl imerudi. Hali hii imemfanya mbowe kuchanganyikiwa na sasa anatapatapa hajui afanyeje kuuzuia upepo wa magufuli unaowavuta wengi ccm. POLE SANA HALI TETE KIBANDA KINATEKETEA
Mbona unawazungumzia CCMwalioamua kurudi kwenye chaka lao?ukawa asili bado tuko imara and watching u
 
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Leo amekuwa siyo chochote tena mbona alikuwa ndiyo ruru kwenye kampeni zenu kweli nyie viazi.
 
Huyu, Mgeja na wenzake wa aina hiyo si cho chote, na hizi wala si habari. Labda kwa mbali ingekuwa Sumaye au Kingunge. Ikitokea ikawa ni EL hapo sasa ndiyo ingekuwa HABARI, nchi ingetikisika, upinzani ungegalagala na CCM ingerukaruka! Hili sidhani kama linaweza kutokea.
Kijana kwa sisi tulioshiriki uchaguzi 1995 tuliona wimbi lililotumwa kazi upinzani likirudi na kuponda upinzani,hii ilisababisha wananchi kupata picha kuwa upinzani ni usanii,watu waliamua kuendelea na CCM Mbowe katuuza,muda ukifika utagunduwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom