UKAWA yaaibika Dodoma

Ukawa ni janga sugu la wazawa hafai kabisa.


Janga kuu ni CCM,Miaka 50 ya uhuru akina mama wanajifungulia kwenye sakafu wakati MACCM mnafanya shopping Dubai,mmewanyima Watanzania Elimu ili mtumie ujinga wao kwa kuwanunulia kanga na kuwahonga elfu tano.CCM ni zaidi ya ukoma.
 
Janga kuu ni CCM,Miaka 50 ya uhuru akina mama wanajifungulia kwenye sakafu wakati MACCM mnafanya shopping Dubai,mmewanyima Watanzania Elimu ili mtumie ujinga wao kwa kuwanunulia kanga na kuwahonga elfu tano.CCM ni zaidi ya ukoma.

Yaonekana una akili kwenye visigino.
 
Hakuna UKAWA itakayoaibika hapa Tanzania.
CCM subirini mda wenu ufike mlie na kura chache.
Magoli yenu ya mkono pelekeni viwanja vya basketball.
 


Kuna mambo mawili yananikereketa wakati kampeni zikiendelea. Mambo hayo mawili yanawahusu wanasiasa wawili: Edward Lowassa na Hiza Tambwe. Lowassa amekuwa akitukera CCM kwelikweli.Hachokozeki. Anarushiwa dongo,anakwepa. Anakashfiwa,ananyamaza kimya. Haami kwenye hoja zake. Anakera kweli yaani. Hata timu ya kampeni sasa inapoteza dira. Ilipanga kujibizana naye.

Anavyonyamaza, anawakosesha wanatimu cha kusema ili kuendeleza kilichopangwa. Huyo ni wa kwanza. Wa pili ni Hiza Tambwe. Tulimpokea Tambwe humu chamani, CCM, na kuwa naye kwa miaka tisa. Tulimsajili toka CUF. Hiza Tambwe,kutokana na uzoefu wake wa kisiasa hasa kusema maneno yanayochoma,aliaminiwa haraka CCM. Akawekwa kwenye Kitengo cha Propaganda.

Hata timu ya Vijana wapambanaji mitandaoni, luningani na magazetini katika utetezi wa chama ilikuwa chini yake. Tambwe alikuwa mbunifu wa mambo mbalimbali ya kipropaganda kukilinda na kukisafisha chama. Tambwe amefanya kazi ya kutukuka ndani ya CCM. Kuondoka kwake kwenda UKAWA ni pigo kubwa kwa CCM. Tambwe ni Master of propaganda. Ametuacha wakati mbaya sana.Hatukutegemea.

Lowassa anakera, Tambwe amekwenda kuongeza na kutangaza sera. Mwaka huu tukitoboza, tutakuwa 'watakatifu'!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

(Quoted from VUTA-NKUVUTE )


MIZAMBWA
INANIUMA SANA
 
Last edited by a moderator:
hiyo hututba ya januari nilliisikia pia ikisomwa na na le profesee kitila mkumbo wakati wa ufunguzi wa kampeni ya chama cha wasaliti Agriltalcha kaseli ofu tanzania a.k.a ACT...inaonekana alihusika kuwatungia halafu akasahau kuwa ni hotuba ya mtu mwingine...pole makamba...kijana mdogo unajisikia...kuwa mjanja kama dada yako mwamvita...yeye ni profesheno anpiga hela za wazungu tuuu

 
Definition ya uroho wa madaraka ni nini?
Kama ni mtu usiyempenda akigombea kutishia unachokitamani okay,
Ila binadamu wote susiofanya kazi za kitume ni waroho kwa kiasi.
Mimi napenda kuwaza kuwa wanasiasa wenye uwezo wa kupata chakula na wana kazi au kipato kizuri wanaamua kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kufikiria wenzao, ili wasifurahie wenyewe bali na wengine nao wafaidi maono yao mema.
Ni pamoja na makamba na lowasa na wengine wengi.

Ila kuna mchezo mbaya watu wanaupa jina la siasa (siamini) unatumika na watu wenye kugombea nafasi za kupigiwa kura. wanatumia ujinga, woga na uvivu wa kufikiri wa wapiga kura kujipatia kipato.
Hawa ni wa kupiga vita mara wanapojulikana. Wengi wao ni watu wanaotamani kuongeza jina, kuongeza kipato, wanatamani kubabaikiwa na kuombwa mbwa.

My take kuliko kumchagua mtu mwenye kipato cha kati au chini alie rahisi kuyumbishwa na wazee, matajiri, wenye positions, etc bora mtu ambaye kuhongwa kwake, kutishiwa kwake, kutetemekea kwake vibosile hakutakuwa rahisi.
 
January aje aelezw kwanza kwa nini alifutiwa matokeo ya form four
 
Ukawa ni janga sugu la wazawa hafai kabisa.

Magufuli Oyeee. Hata sisi UKAWA tunamkubali bali Mzee Lowassa tunamzuga ili tule hela yake anayoturudishia kiaina. Upo hapo

Haujui tofauti ya uzito na wepesi wa hoja....

Janga kuu ni CCM,Miaka 50 ya uhuru akina mama wanajifungulia kwenye sakafu wakati MACCM mnafanya shopping Dubai,mmewanyima Watanzania Elimu ili mtumie ujinga wao kwa kuwanunulia kanga na kuwahonga elfu tano.CCM ni zaidi ya ukoma.

Yaonekana una akili kwenye visigino.

 
Kama ni uroho wa madaraka kwanini yeye januanry aligombea uraisi? Kwanini aliwawekea mapingamizi wengine, si angeacha na kupambana na wapinzani wake kwenye sanduku la kura

bila pingamizi uyu kipara ng'oto hawezi kupita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…