juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
- Thread starter
- #21
Tunaitwa nyumbu kwa sababu kila anachoongea mbowe sisi tunaunga mkono tu
Kwa hiyo wewe kwa Mtazamo wako ENL unamuweka katika kundi gani ?
Mwizi ama sio Mwizi ?
Uliposoma katiba ya CHADEMA ukagundua kuwa kuna kifungu kinachowataka wanachama kuwaunga mkono wagombea wanaopitishwa na chama? Kwa hiyo ukaogopa kuhama kwa kuwa utakuwa unavunja katiba ya chama? Toka lini kuhama chama imekuwa ni kuvunja katiba ya chama? Inawezekana hujui unachokizungumza.
Moderatos hebu unganisheni hili bandiko na hili https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/978716-ukawa-wote-nipeni-majibu.html kwani maudhui yanafanana kabisa.
Mhariri na Paw!
Kaiba nini? Serikali si ndiyo ina taarifa zote kuhusu Ritchmond kwa nini wasizitoe hadharani?Mwizi,mana hajatoa taarifa kamili juu ya kutohusika kwake na Richmond
Mwizi,mana hajatoa taarifa kamili juu ya kutohusika kwake na Richmond[/QUOTE
Very Poor Indeed
Rudi Lumumba wakakufundishe kuandika
Hebu kwanza tuwe wakweli, umesema "ana madoa" na hii ya kusema kwamba ana "madoa" ni hoja inayotoka CCM lakini mwisho wa siku wanaishia kusema habari ya Ritchmond. badala ya kutumia wingi muwe mnatumia umoja kwa kusema "ana doa" kwani hoja yenu imejikita kwenye Ritchmond.
Wakati fulani huko siku za nyuma tulikuwa na usemi usemao "elimu haina mwisho". Maana ya usemi huu ni kwamba hakuna mwisho wa kujielimisha kuhusu jambo fulani. Zama za kale ilikuwa inaaminiwa kuwa dunia imebebwa juu ya Pembe za mnyama mmoja mkubwa sana anayefanana na Ng'ombe, na mnyama huyo anapojitikisa ndipo yanapojitokeza matetemeko ya ardhi, mpaka leo bado tunaamini hivyo? Sayansi imetusaidia kubadili mtizamo huo wa kizamani kuhusu Dunia na ulimwengu!
UKAWA na CHADEMA wameshajielimisha sana kuhusu sakata la Ritchmond na yatokanayo, ndiyo maana Tundu Lissu alisema kampuni ya Ritchmond Mhusika wake ni Kikwete lakini cha ajabu ni kwamba nyie hamsemi kuwa hilo ni doa kwa Kikwete na Serikali yake!
Lowassa anaposema kwamba mwenye ushahidi aende mahakamani anaongea kimantiki, kwani CCM wanalifanya suala la Ritchmond ni la Kijinai kwa ivo kama ni la kijinai basi ni lazima lipelekwe mahakamani. Kama hamuelewi ni kwa nini Lowassa anasema mwenye ushahidi aende mahakamani basi tena hakuna jinsi ya kuwaelewesha.
Mitambo ya Ritchond ni haramu? si ndiyo ya DOWANS na si ndiyo inayoendelea kutumiwa na Symbion? Symbion imetoa misaada kiasi gani kwa jamii na Serikali yetu, fedha zinazotumiwa kutoa misaada hiyo si zinatokana na uzalishaji wa umeme unaofuliwa na Mashine Haramu zilizoletwa na Ritchmond? Au ndiyo mambo ya Baniani Mbaya kiatu chake dawa?
WanaJf,
Naamini uchaguzi umeisha na Magufuli ni rais, iwe kwa halali au kwa njia za panya ila ndio rais, kuna lalamikalalamika ya viongozi wetu wa CHADEMA na ukawa kiujumla, kwamba tuliibiwa kura za rais, jambo ambalo mimi siliafiki na nmekuwa nikikwaruzana na wanachama kadhaa wa CHADEMA na kuitwa msariti, mnafiki, gamba, mamluki, CCM.
Ninachopingana na wenzangu ni kwamba hatukuibiwa kura, bali tulikosea kuweka mgombea urais ambaye ana madoa na tumemuimba miaka 8, tumemwita fisadi, mwizi sugu harafu leo anagombea urais, hivi mlitegemea wananchi wangetuelewa vipi?
Sasa naomba mwana ukawa yeyote anieleze"hivi kuhusu Richmond, Lowassa amewahi kujieleza hadharani na tukamuelewa? Mimi binafsi najua akiulizwa utasikia "mwenye ushahidi aende mahakamani" sasa hapo kajibu nini?Au utasikia "hakuna nililofanya ambalo raisi alikuwa hajui", sasa hilo ndio jibu?
Naomba mtu wa UKAWA mwenzangu anipe jibu je Richmond, Lowassa amewahi kujieleza akaeleweka? Kama hapana basi hatukuibiwa kura.
atakayetoa jibu la maana nimensheni nije kulisoma
Kweli mbowe amewashika sana vijana wa bavicha,mimi kanikosa safari hii nmeshtuka,haiwezekani mtu walituambia ni mwizi,fisadi papa,leo eti awe msafi gafra