Ukawa wekeni hili wazi

Ukawa wekeni hili wazi

Hapa tutatumia akili mambo ya kufuata Mkumbo ndio yanaleta taabu kwetu, ukawa wamevurunda kabisa tena wameboa, urais kwa sasa hawana sifa ni ubunge pia udiwani hapo vizuri sana
 
Hapa tutatumia akili mambo ya kufuata Mkumbo ndio yanaleta taabu kwetu, ukawa wamevurunda kabisa tena wameboa, urais kwa sasa hawana sifa ni ubunge pia udiwani hapo vizuri sana

Sawa sawa nimekuelewa
Kuna mtu humu ndani amewah kuniambia kuwa lowasa hana falsafa ataongoza kwa mazoea yale yale kama ccm
Leo ndo nimeamini nakaribia kulithibitisha hilo
 
Back
Top Bottom