Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Kweli, itabidi watoke tena maana wakibaki wanaweza kutolewa na maaskari kama sugu.swali langu liko kwamba wakishatoka hatua ya kuchukua itakuwa ipi kati ya hizo hapo juu?Nafikiri unakosea kitu.Hukumbuki issue ya Sugu kutolewa na maaskari?
Kweli, itabidi watoke tena maana wakibaki wanaweza kutolewa na maaskari kama sugu.swali langu liko kwamba wakishatoka hatua ya kuchukua itakuwa ipi kati ya hizo hapo juu?
Dah! hasiraaaaa, nini mbaya? sorry!Kwa nini hili swali usiende kumuuliza baba yako?
huyu jamaa ni useless kabisa. hana hoja nyingine zaidi ya chadema na ukawa. hivi ulisha wahi pewa mimba na mwana ukawa nini?
Wadau,
Sasa kama watagoma kama kawaida; unashauri nini Kifanyike kati ya machaguo matatu ambayo yamekuwepo wakati wote.
1. Rais kuwaita ikulu?
2. Wabunge wanaotaka kuendelea (coalition of the willing ) kuendelea?
3. Mchakato wa marekebisho ya katiba 1977, usitishwe na tuendelee na yo kama ilivyo hadi hapo mpya itakapopitishwa?
Hili swali kwa nini usimuulize bosi wako zana za kilimo ambaye naye alisusa?
Mbona CCM walikimbia debate na Upinzani wakati wa uchaguzi wa 2010?? Hadi mkamfukuza kazi Tido muhando??
Sorry mkuu, kwa kutoka kwenye mada, Nilipokuwa rumande nilikula bata.
!Si hakuna akidi inayohitaji siyo!
liosema ndiyooo wamshinda"
Hehehe watu wanaoongea vikao vya maamuzi ya taifa wewe unaoongea taarab za siasa
Lakini ni vizuri fujo hiyo wakaifanyia nje ili waje huku rumande tule bata maana kuna bata wamebaki.Nimekuambia sio lazima,wanaweza kushinikiza kwa kufanya fujo kama ilivyowahi kutokea.
Hawa ndio viongozi wa lile Tawi jipya la CCM linaitwa ACtWadau,
Mtaalam mmoja wa kijeshi anasema, tabia fulani inapopandikizwa vya kutosha ndani ya kicha cha mtu, tabia pandikizi hugeuka na kuwa kama "Second nature" kwa mhusika. Kwa mfano anasema, mtu wa kawaida kabisa anavyojiunga na jeshi, hupandikiziwa tabia ya upiganaji na uvaaji wa magwanda katika kiwango ambacho tabia hiyo huwa ni kama "Second nature" kwa muhusika na huifurahia hali hiyo.
Kwa kuwa UKAWA wamepandikiziwa tabia ya kukimbia mijadala kwa kiwango ambacho tabia hiyo imekuwa kama "second nature" kwao, na kwa kuwa hivi karibuni inatarajiwa kwamba bunge litakutana tena kwa ajili ya kubadilisha sheria kadhaa kuhusu mchakato wa katiba mpya na kuboresha baadhi ya vifungu katika katiba ya 1977, Inatarajiwa kwamba watagoma tena na kuondoka zao.
Sasa kama watagoma kama kawaida; unashauri nini Kifanyike kati ya machaguo matatu ambayo yamekuwepo wakati wote.
1. Rais kuwaita ikulu?
2. Wabunge wanaotaka kuendelea (coalition of the willing ) kuendelea?
3. Mchakato wa marekebisho ya katiba 1977, usitishwe na tuendelee na yo kama ilivyo hadi hapo mpya itakapopitishwa?