Hivi vyama vinavyounda Umoja wa katiba wa wananchi visiposoma vizuri katiba ya nchi hii ikifika mwisho wa siku tutajikuta tunachagua magufili VS kivuli.
Hii ni kutokana na sheria ya uchaguzi inavyosema kuwa mgombea ana anapaswa kuwa mwanachama wa chama husika kwa muda usiopungua miezi mitatu kabla ya kuanza mchakato wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya uongozi kupitia chama hicho. Mgombea wa UKAWA sidhani kama ata kuwa amekidhi vigezo hivyo ni dhahiri mwisho wa siku UKAWA wakajikuta hawana mgombea heri wamrudishe Dr. Slaa ulingoni.
Wote tunapenda mageuzi tujitahidi kulitafakari hili tuone suluhu itakuwa ni nini ili mwisho wa siku tusije kunaswa kwenye mtego wa CCM