kichaamuerevu
Member
- Jun 28, 2013
- 24
- 3
Helkopta ndio inafika... Muda si mrefu kikao kitaanza
Helkopta ndio inafika... Muda si mrefu kikao kitaanza
Maskini cdm. Mnakumbuka utabiri wa Wasira? Alisema kuja kufika 2015 cdm haipo(ahera) sasa hiyo naiona. Siku hizi husikii mkutanoio wa chadema utasikia ukawa. Huwezi kwenda mkutano wa Slaa/Mbowe/Lisu na wahuni wengine ukasikia Peoples Power. Ni kakundi kanaitwa Ukawa . Wengi hasa amabao walikuwa mburura kidogo nadhani na B8 naye yumo kundi hili, wameshajua kuwa utabiri wa nabii Steven karibu unatimia, wale mburura wengine hawajielewa na bado hawaamini kuwa cdm ndio basi tenaaaaa. Subiri kidogo uone