UKAWA wanafanya Press conference muda huu

Any updates kuhusu mgombea uraisi na mwenza kupitia UKAWA atatokea chama gani.......

Mgombea mwenza wa UKAWA atatoka chama kimoja na mgombea Urais wa UKAWA!

Hilo ni takwa la katiba ya JMT ya 1977
 
Kila heri viongozi wetu wa Ukawa .raisi ajaye tunatambua atatoka ndani ya Ukawa.
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! Naona sasa ukawa wamechanganyikiwa. Ukiona wanatumia nguvu nyingi kukanusha uvumi wa kwenye media basi ujue wamenaswa
 
Mkuu sheria za nchi zinasema kama raisi anatoka Tanganyika mwenza wake lazima atoke Zanzibar...vice versa is true
hiyo ni sheria ipi?namba ngapi?nijuavyo mimi that is just a best practice
 
Nashauri UKAWA uraisi wampatie Prof. Lipumba, ushirikiano utakuwa wa dhati.
 
Haiwezekani huu muungano wa vyama. Wote hapo ni wasanii.mara mbatia ataka kujitoa. Mara nld wapewa majimbo 2 . hapo wameona wazuge zuge ili wagawanyike kila mtu apate sababu. Ninaamini hao viongozi wamesha hogwa na maccm . sisi wananchi tunawaasubili waje kama timu(ukwa)kikija kichama kimoja kimoja wapigwe. Watakuwa wameonyesha uloho, ubinafsi, uchu wa madaka,
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! Naona sasa ukawa wamechanganyikiwa. Ukiona wanatumia nguvu nyingi kukanusha uvumi wa kwenye media basi ujue wamenaswa

uvumi wa kwenye media, wakati ndio mnaoushadadia na jana mmeshinda hapa mtandaoni mnatiana moyo?
 
Ukawa watuambie kwa nini jana Mbatia na wajumbe wa NCCR Mageuzi walitoka nje ya kikao kwa hasira kabla hakijamalizika.

hembu tupe wewe maana inawezekana unajua kuliko walichoongea leo
 

Act= maana yake ndio hyo basi umetisha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…