UKAWA wanachukua nchi kwa style hii

UKAWA wanachukua nchi kwa style hii

Kwa utaratibu huo, hawa jamaa watapiga sana Push up majukwaani. Pia mie nadhani ikiwezekana waruke hata kichura maana huwezi kamilisha mazoe kwa push up pekee.
 
Lazima Mtumie Chopa Mnaona aibu Kuzunguka Nchi Nzima Kwa Gari Kwa Kuwa Mlishasema Ccm Haijafanya Chochote Wakati Tanzania Sasa Hivi Kuna Wide Connection Through Roads Zilizojengwa Chini Ya Usimamizi Wa Serikali Ya Ccm,kwa Kauli Zenu Wenyewe Mnajifunga Bakizeni Akiba Ya Maneno.....
 
Tuna imani na lowassa na lazima tumpeleke ikulu. Waache wajifariji. Mama akikaribia kujifungua ndio uchungu unavyozidi kuwa mkali
 
Hao makamanda uliowataja na wenyewe wamebanwa majimboni mwao si unaona wametuliza makalio majimboni mwao, kila mtu anakufa kivyake mwaka huu. Nilisikiaga makamu wa BAVICHA taifa anagombea ubunge Isimani mbona kimya sana hata picha tu sijawahi ona ikirushwa akiwa na nyomi.
 
Mvua au jua usiku au mchana tutahakikisha ccm wanaondoka madarakani.
WATZ WANATAKA MABADIRIKO
 
Hakuna shida; kama JF wamedhanunuliwa tutatumia njia nyingine k.v whattapp. Hata hivo Tumeshafanya maamuzi waTZ Asilimia 75. JF haiwezi kutubadilisha. PIPOOOOOZ.

POWEEEEEERRRRRR!!!! Ni kweli mkuu wameshachelewa sana
VIVA UKAWA!!!
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa

Mabilioni yanayowanunua viongozi wa upinzani pamoja na rundo la wasanii huyaoni? tumia kichwa kufikiri
 
Mabilioni kwa Prof. Pumba, Dr. Mihogo, Mafuso/UDA za kuwafata & 10,000 za kuwakusanya wananchi, Mabango kila kona wakati mnajulikana etc. Au choteni kidogo tu ESCROW tatizo kwisha.

Umesahau mabilioni waliyopewa makamanda wetu Mbowe na group lake kutoka kwa timu ya mafisadi? ??
 
Jamani lazima tusema ukweli kwa maslahi ya nchi. Tusikae tunashabikia upumbavu eti chopa sijui kumi. Jamani jamani hivi tunawajali wananchi au atuwajali? . Tazama mshindani wetu amekwenda mwendo wa barabara na angalia idadi ya wananchi aliowafikia. Sisi tunajitapa na chopa. Upuuuzi gani huu. Wapo wanachama wetu kule mahospitalini hawana madawa wala hela ya kujitibu, inaonyesha hatuwajali sisi tunajali maslahi binafsi tu. Halafu tunajitapa tutatetea wanyonge. Wananchi wamezinduka msidhani hawana akili. Narudia kusema wananchi wameerevuka sana tofauti na tunavyofikiri. Tutaionja joto ya jiwe kwenye sanduku la kura
 
Mabilioni yanayowanunua viongozi wa upinzani pamoja na rundo la wasanii huyaoni? tumia kichwa kufikiri
Kwanini viongozi wa upinzani wanakubali kununulika.?? Na je watatuhakikishia lini wataacha mchezo huo sasa ili wananchi warudishe matumaini na wawape dola ya kuongoza
 
Jamani lazima tusema ukweli kwa maslahi ya nchi. Tusikae tunashabikia upumbavu eti chopa sijui kumi. Jamani jamani hivi tunawajali wananchi au atuwajali? . Tazama mshindani wetu amekwenda mwendo wa barabara na angalia idadi ya wananchi aliowafikia. Sisi tunajitapa na chopa. Upuuuzi gani huu. Wapo wanachama wetu kule mahospitalini hawana madawa wala hela ya kujitibu, inaonyesha hatuwajali sisi tunajali maslahi binafsi tu. Halafu tunajitapa tutatetea wanyonge. Wananchi wamezinduka msidhani hawana akili. Narudia kusema wananchi wameerevuka sana tofauti na tunavyofikiri. Tutaionja joto ya jiwe kwenye sanduku la kura

Ngwee ya pili uhuru alitumia chopa 10 na majibu yake unayo
 
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa

Ama kweli ukiwa CCM akili inakutoka! Kweli unategemea UKAWA waokoe wagonjwa kazi ambayo ni ya serikali? Je, serikali iko wapi? Toroka huko uje huku na utapata akili upya!
 
AKAJIBU AKAWAAMBIA,"WAGONJWA mNAO SIKU ZOTE,ILA UCHAGUZI NI MARA MOJA KWA MIAKA MITANO,NA TENA,KILICHOFANYA WAGONJWA WAKOSE ULICHOSEMA NI SEREKALI YA FISIEMU,IWEJE USAHURI UKAWA KUTOA PESA ZA KAMPENI KUNASUA MAKOSA YA WENGINE,?"
SHINDWA KWA JINA LA YESU KRISTO,ULEGEE MIELE,AMEN.
Matumizi ya mabilioni ya kurusha chopa hizo si ni heri tuahirishe uchaguzi tupeleke msaada kwa wagonjwa wanaokufa mahospitalini kwa kukosa huduma na dawa
 
Kwanini viongozi wa upinzani wanakubali kununulika.?? Na je watatuhakikishia lini wataacha mchezo huo sasa ili wananchi warudishe matumaini na wawape dola ya kuongoza

Mkuu Ukawa Hawataki Kukubali Hilo,mpaka Wanafikia Kusema Kiongozi Fulani Ndani Ya Chama Kanunuliwa Ujue Kuna Tatizo Kubwa Sio Dogo,lakini Badala Ya Kusolve Tatizo Wanarusha Mpira Kwa Ccm, Juliana Shonza Alikuja Humu Akasema Chadema Kuna "Ombwe La Uongozi" Hawakutaka Kuelewa Humu,lakini Ukweli Unajidhihirisha Wazi,Mpaka Mnafikia Hatua Ya Kumtuhumu Kiongozi Wenu Wa Juu Kuwa Amenunuliwa Au Amefika Bei Ujue Kuna Ombwe Kubwa Juu Ya Uongozi Wa Ukawa Kama Viongozi Waliojenga Misingi Imara Wamerubuniwa Inakuaje Kwa Hawa Wahamiaji.....!!!
 
Lazima Mtumie Chopa Mnaona aibu Kuzunguka Nchi Nzima Kwa Gari Kwa Kuwa Mlishasema Ccm Haijafanya Chochote Wakati Tanzania Sasa Hivi Kuna Wide Connection Through Roads Zilizojengwa Chini Ya Usimamizi Wa Serikali Ya Ccm,kwa Kauli Zenu Wenyewe Mnajifunga Bakizeni Akiba Ya Maneno.....
Nataka kwenda Mahenge, ntapita kwenye lami ipi mpaka nifike Mahenge na Mlimba.

Miaka 54 nchi haina fly over hata moja, mipango miji hovyo, takataka Dar unaziona hata ukiwa kwenye ndege angani, hakuna maji 3 km toka ikulu, hospitali wodi ya wagonjwa wa ajali watu wanalazwa chini tena kwenye vigodoro vilivyojaa damu. Mji una kipindupindu mpaka kiangazi.

Hivi tupo kuzimu au duniani? Change in this country is inevitable this year whether the devil likes it or not.
 
Sasa mambo yanakaribia kuiva ile safari ya uhakika nje ya CCM naona si muda mrefu mambo yatakuwa byeee.

Hiyo ni operation maalum iliyopewa jina toroka uje itakayopita kwenye kata na vijiji , makamanda wa ukombozi watasambaa nchi nzima ndani ya siku 30 vijijini ili kuhakikisha kwamba CCM wanaondoka madarakani oktoba 25.

Hizo chopa zimegawanyika kikanda Lindi , Mtwara na Pwani hii kanda ya pwani itabeba ujumbe okoa gesi yako sasa( itaongozwa na Tambwe Hiza , ) . Ruvuma, Mbeya na Iringa kanda ya kusini (itaongozwa na Sugu na Msigwa.) .

Kanda ya kati Dodoma , Singida na Morogoro ( itaongozwa na Lissu ) kanda ya ziwa itaongozwa na makamanda sita .

Kanda ya kaskazini itaongozwa na kamanda Ndesamburo akiwa na makamanda sita.

Kanda ya magharibi itaongozwa na Kafulila na kanda ya pwani kati yenye mikoa ya Dar na Tanga itaongozwa na Kubenea , Mnyika na Mdee.

Kazi ndio imeanza upya ndani ya hizi siku 30 tutegemee CCM kusambaratika zaidi.

UKAWA nimewakubali kwa mikakati yenu hii haina tofauti na ile ya uhuru kenyata katika kampeni zake siku 30 za mwisho alitia chopa kumi angani na wafanyakazi elfu nne kutoka kila Kijiji kilichopo Kenya na akashinda kwa kishindo kikubwa.

https://t2015ukawa.wordpress.com/20...roka-uje-ya-ukawa-kuanza-rasmi-kuanzia-kesho/
 
Back
Top Bottom