The Headmost
Senior Member
- Aug 28, 2011
- 127
- 61
Halafu hata mimi swala hili linanitatiza kweli: eti Ukawa walikuwa wanataka raisi mkali na mwenye kuchukia hatua za kijasili. Leo amepatikana wanaaza kuogopa ogopa!! Kana kwamba wao ndiyo wanachukua hatua hizo za kijasili. Eti bora angekuwa yule yule ..huu ni unafiki uliokidhiri!!Hivi kwanini JPM hajiulizi ilikuwaje KJ akawa na urafiki wa mashaka na Kagame??
Nijuavyo mimi JK alikuwa anasaidia kuwaondoa waasi DRC na bwana Kagame hataki waondoke kuna tetesi kwamba Kagame anawasaidia.
Sasa tujiulize JPM anamuunga Kagame mkono kama kweli anawasaidia waasi?
Kagame ameona uhodari wa jeshi la Tanzania lililopo DRC anataka kumuingia jamaa yetu ili awaondoe makamanda wetu huko Kongo kwa manufaa yake.
Nashauri JPM awe makini na huo undugu wake na KAGAME
Mbowe anajishaua tu, nani aliwaalika? Mnapenda kudeka deka tu. Nani anamuitaji mwingine kati ya Magu na nyie?Dar es Salaam. Vyama vya upinzani vimesusia hafla iliyoandaliwa Ikulu kwa ajili ya Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Rais John Magufuli alikuwa ameandaa dhifa ya kitaifa kwa ajili ya mgeni huyo ambaye aliwasili nchini juzi kwa ziara ya siku mbili, iliyohusisha kufungua Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuzindua maonyesho hayo, Rais Kagame aliandaliwa hafla hiyo ambayo ingeweza kumkutanisha na viongozi wengine wa kisiasa na wafanyabiashara, lakini hali ikawa tofauti baada ya viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa kutoshudhuria.
“Kuna mgogoro huo wa kuzuia mikutano ya hadhara, lakini hawajali. Suala la Zanzibar, watu wanakufa lakini hawajali, bungeni kuna mpasuko kwa muda wote lakini hawajali,” amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na mbunge wa Hai akizungumzia uamuzi wao wa kugoma.
I see!!....Chadema mnaenda kua chanzo cha mashoga wengi zaidi dar, huku kususa susa ni moja ya symptoms za umama mama, na sio vyema kufundisha bavicha hivyo
Dictator uchwara
Haya ndio mawazo ya kidikteta, Rais hana mamlaka unayodhani anayo.Mheshimiwa Rais hawezi kupoteza muda kushughulikia mambo ya kuhuni yanayofanywa na vyama Fulani! Kumbukeni anayo Mamlaka ya kushughulikia wahuni wote wanaomkashifu hapa jamvini maana tunawajua!!
Kwo kwihivi nawewe ulifutulishwa na baba yako fisadi lowasa?
Dar es Salaam. Vyama vya upinzani vimesusia hafla iliyoandaliwa Ikulu kwa ajili ya Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Rais John Magufuli alikuwa ameandaa dhifa ya kitaifa kwa ajili ya mgeni huyo ambaye aliwasili nchini juzi kwa ziara ya siku mbili, iliyohusisha kufungua Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuzindua maonyesho hayo, Rais Kagame aliandaliwa hafla hiyo ambayo ingeweza kumkutanisha na viongozi wengine wa kisiasa na wafanyabiashara, lakini hali ikawa tofauti baada ya viongozi wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa kutoshudhuria.
“Kuna mgogoro huo wa kuzuia mikutano ya hadhara, lakini hawajali. Suala la Zanzibar, watu wanakufa lakini hawajali, bungeni kuna mpasuko kwa muda wote lakini hawajali,” amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na mbunge wa Hai akizungumzia uamuzi wao wa kugoma.
Haya ndio mawazo ya kidikteta, Rais hana mamlaka unayodhani anayo.
Tuna mihimili mitatu, Bunge, serikali na mahakama, ni hasara kwa Taifa kuwa vijana wenye upeo finyu na dhaifu kama wewe. Hopeless kabisa.
Dikteta uchwarautakamatwa kwa uchochez lissu wameshamletea noma kwa usalama wako edit
Hivi nani mwenye mamlaka ya kumuondoa Rais madarakani?Hivi Nani mwenye mamlaka ya kuvunja Bunge?!