UKAWA wamepoteza dira

UKAWA wamepoteza dira

Hivi ilani ya uchaguzi nini..?! Hi elimu ya kukariri imetuharibu sana..matatizo ya tanzania hata nikikurupushwa usingizini nayataja na solution zake vizuri..ndo maana nasema ccm inatakiwa kufutwa tanzania tuanze upya

Kwa hali hii hata waalim wataanza kuhoji umuhimu wa kuandaa lesson plan na scheme of work
 
Leo CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati leo wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu jana wote walienda. Wamechanganyikiwa.

.....panic
......panic ......panic .....panic

Umechanganyikiwa.?

Hauleweki nikama umeleta ngonjera

Leta hoja sio viroja
 
Kwa kiswahili cha kawaida kabisa tunasema mambo ya UKAWA yanaenda segemnege!! Ngoja kampeni zianze muone watakavyochanganyikiwa. LABDA MIMI NISEME kwamba ndani ya kipindi cha kampeni UKAWA watafarakana na mfarakano wao utakuwa mkubwa sana! LABDA MIMI NISEME NENO MOJA, UKAWA ipo ukingoni!

Naona unawazia mabaya dhidi ya UKAWA. Unasahau kuwa UKAWA ni watanzania wazalendo wenye uchungu na Tanzania yao.
Mpaka sasa kila kitu ndani ya UKAWA kinakwenda vizuri kabisa. UKAWA ni watu wa vitendo na sio porojo tupu kama CCM.
Endelea kusubiri hivyo hivyo mpaka 26/October/2015 uje tena hapa hapa kusema tuone UKAWA kama wataweza kuongoza serikali.
 
Leo CHADEMA na umoja wao wa kichina, UKAWA wanazindua kampeni. Hata hivyo,

1. Mpaka sasa hawajatangaza wapi watazindua kampeni zao baada ya kuukosa uwanja mkuu wa taifa ambao walidhani unatumika kwa shughuli za kisiasa.

2. Mpaka wanaenda kuzindua kampeni, hawana Ilani ya Uchaguzi. Sijui wataenda kuwaambia nini wananchi. Naona wanaenda kupiga porojo tu.

3. Vyama washirika karibu vyote vimepoteza muelekeo. CUF mpaka sasa hawana Mwenyekiti baada ya Lipumba kujiuzulu. CHADEMA hawana Katibu Mkuu baada ya Dr Slaa kukaa pembeni.

4. Hawana agenda ya kuwabeba kisiasa. Agenda yao ya ufisadi imeingia kirusi baada ya kumteua fisadi kuwa mgombea Urais.

5. Makosa waliyofanya ya kuchelewa kutangaza wagombea ubunge yanawafanya waende kwenye kampeni wakiwa vipande vipande. Kule Bunda Mjini, Bulaya kakataliwa. Sikonge kwa Mkumba hali ni tege. Pia kuna majimbo mengi hali si shwari.

6.. Wakati viongozi wote wa Bunda wakijiuzulu, CHADEMA wamepanic na kutengeneza propaganda kuwa viongozi hao wapatao 11 wamefukuzwa kutokana na makosa mbalimbali. Hata hivyo ushahidi wa video umewaumbua na sasa wamepanic.

7. Mafuriko ya wana CCM waliyokuwa wanatarajia kuhamia CHADEMA mpaka sasa hayajajitokeza. Wamepanic

8. Wakati leo wanazindua kampeni, mpaka sasa hawana timu ya kampeni ya kitaifa. Wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa. Wamepanic. Ubora wa Timu ya kampeni ya CCM umewafanya wajitafakari upya

9. Mpaka wanaingia kwenye uchaguzi, CHADEMA, CUF na NCCR hawakuwa na bajeti ya uchaguzi. Wanategemea ufadhili wa Lowasa. Hata hivyo, mambo yanaonekana kwenda kombo kwake. Lowasa amesema kuwa hana uwezo wa kugharamia majimbo yote isipokuwa ataelekeza nguvu kwenye majimbo machache hasa ya maswahiba wake. CHADEMA wamepanic.

10. Uwezo mdogo wa Lowasa kujenga hoja umewapanikisha. Wamepanic kweli. Ndo maana kila anakoenda Lowasa lazima Mbowe na Mbatia wawepo. Yaani full kupanic. Nimeshangaa hata kurudisha fomu jana wote walienda. Wamechanganyikiwa.

Go back to school
 
Mkuu mi nimechoka na CCM ila kwa ujuha huu wa Ukawa nasema acha tuweke mabadiliko on the back burner na tuanze upya!
Hawa akina Mbowe ni walaghai, wachumia tumbo na mafisadi! Na sasa inadhihirika kuwa walishindwa kwa miaka 20 kuimarisha chama as an institution.
Wanawasema CCM na mwenyekiti kuja na majina mfukoni, alafu mwenyekiti wao Mbowe anafanya udikteta mkubwa zaidi kwa kunyima hata nafasi ya kugombea kwa wengine isipokuwa mgombea wake kupita bila kupingwa.
Sasa institution gani haina hata Ilani na kampeni inaanza kesho?
Chama kichanga kama ACT ina ilani na imeiweka kwenye mtandao.
Chadema na Ukawa kwa ujumla kwisha habari yao!

Huwezi kuwa umeichoka CCM ukasema maneno haya!
 
Naona unawazia mabaya dhidi ya UKAWA. Unasahau kuwa UKAWA ni watanzania wazalendo wenye uchungu na Tanzania yao.
Mpaka sasa kila kitu ndani ya UKAWA kinakwenda vizuri kabisa. UKAWA ni watu wa vitendo na sio porojo tupu kama CCM.
Endelea kusubiri hivyo hivyo mpaka 26/October/2015 uje tena hapa hapa kusema tuone UKAWA kama wataweza kuongoza serikali.
UKAWA ya wazalendo haipo tena. UKAWA imekuwa kama ukumbi wa starehe ulioingiliwa na mmasai mwenye rungu!
 
Back
Top Bottom