UKAWA wakiona huu uthibitisho watatokwa chozi

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
12193434_900100636743662_3644087550227077751_n.jpg
[/h]
 
nikisema sisi Emu ni mapimbi mnakasirika...

hebu chukua idadi ya kura halali + kura zilizokataliwa uone kama utapata idadi ya waliopiga kura
 
Attachments

  • 1446356993039.jpg
    1446356993039.jpg
    10.4 KB · Views: 265
WHY CCM FOLLOWERS ARE UN EDUCATED AND TOTALLY LOW LIFE

Through my own experience I have come to see 90% of CCM followers are low life and uneducated

Most of them are coming from uswahilini and they really like mipasho and for God sake they don't know what us really going on
 
ccm wamenifanya nisipige kura nchi hii mpaka nakufa....ccm tunaungua na jua kuchagua wao tayaaari washajua kombe wa mpe nan??kwel siku ccm itakapo tangaza mgombea ndio siku tz tumepata rais
 
Uko sawa kabisa sisi tuko Uswahilini kwa sababu ni Waswahili lkn ndiyo wenye nchi, sasa chaguo ni lako aidha ukubali uishi na sisi au uhame nchi uwafwate Wazungu kwa maana ndiyo tumeshinda Uchaguzi tena kwa tofauti ya kura milioni mbili 2 000 000!
 
Nina wasiwasi hata yule dogo wa mkulu ambaye video yake imesambaa kwenye mitandao akituongezea machungu anaweza kuwa na akaunti hapa jf, na uenda akawa wewe kwa kiwango hiki cha uelewa!
 
WHY CCM FOLLOWERS ARE UN EDUCATED AND TOTALLY LOW LIFE

Through my own experience I have come to see 90% of CCM followers are low life and uneducated

Most of them are coming from uswahilini and they really like mipasho and for God sake they don't know what us really going on

Ni kuunge mkono kwa kueleza kidogo makazi yao kwa Arusha na Moshi. Profile yao ni kama ifuatayo:
MaCCM mengi Arusha yanaishi uswahilini, mjini katikati kwenye magofu ya zamani maeneo ya mnara wa makumbusho ya Azimio la Arusha.
Kwa Moshi Maccm mengi yanaishi Pasua na Njoro. Hizi ni sehemu za watu maskini ambao kwa kiasi kikubwa,elimu hawana.

Profile za wana CCM wengi wa Arusha na Moshi zinafanana kama ifuatavyo: Hii ni majority(90%) sio wote:

Kazi za wanaume;Kuuza kahawa na tende;wengi hushinda maeneo ya misikiti kupiga soga kuanzia asubuhi hadi jioni, pia hushinda vijiwe vya kuuzia magazeti, ofisi za chama za mtaa, ofisi za club za mipira na sehemu za shoe shines.

Kazi za wanawake wa CCM: kupika vitumbua asubuhi,na mchana kushinda mabarazani kupaka ina na kujipodoa
Pia wasomali wengi haswa wale wenye DRY Cleaners ni MaCCM. Wahindi walishaachana na CCM siku nyingi.

Hawa IQ yao ni ndogo na hawapendi kuumiza kichwa kufikiri haswa ukiwauliza vipi future yao huwa hawana plan yoyote. Kwao kila kitu kiko sawa hawaoni kwa nini mtu usiendelee kuishi kama ulivyozoea; kwani kwao jana na leo hazina tofauti.
 
ccm wamenifanya nisipige kura nchi hii mpaka nakufa....ccm tunaungua na jua kuchagua wao tayaaari washajua kombe wa mpe nan??kwel siku ccm itakapo tangaza mgombea ndio siku tz tumepata rais

hapo ndo utakuwa umemsusia shamba nguruwe.no retreat no surrender
 
ccm wamenifanya nisipige kura nchi hii mpaka nakufa....ccm tunaungua na jua kuchagua wao tayaaari washajua kombe wa mpe nan??kwel siku ccm itakapo tangaza mgombea ndio siku tz tumepata rais

hapo kwenye red hapo ndio haswaa. Kwani ulikuwa hujui hilo mpaka baada ya mgombea wako kupata kichapo na mbwa mwizi. Haya uchaguzi umeisha tusishambuliane sana lakini hivi hata tukitafakari kwa umakini Luwasa kweli alikuwa anadhani atashinda kwa lipi hasa. Sanasana kaongeza hela za ruzuku kwa chadema kwa hamasa za bodaboda waliompigia kura. Sasa je kina mbowe watamwonea huruma mzee wa watu wakuwa wanamgawia angalau milioni 100 kwa mwezi arudishe japo gharama alizotumia maana mzee dhofu mbaya kipesa kwa sasa.
 
WHY CCM FOLLOWERS ARE UN EDUCATED AND TOTALLY LOW LIFE

Through my own experience I have come to see 90% of CCM followers are low life and uneducated

Most of them are coming from uswahilini and they really like mipasho and for God sake they don't know what us really going on
It is true i don think if thy a ready to make changes in their life
 
Nina wasiwasi hata yule dogo wa mkulu ambaye video yake imesambaa kwenye mitandao akituongezea machungu anaweza kuwa na akaunti hapa jf, na uenda akawa wewe kwa kiwango hiki cha uelewa!

Aisee ile video kijana wa Kikwete ametudhalilisha sana watanzania. Lkn mungu yupo iko siku tutapona.
 
ccm wanasau jambo moja muhimu sna wamekazania kushangilia ushindi feki tu. hata kwa data amabao wanadhani inawafovour check mgawanyo wa ushindi kwa percentage ,

1.CCM=58.49%

2. OPPOSITION(CDM, ACT, TLP NRA, UPDP CHAUMA, ADC)=41.54%

KWA TAKWIMU HIZO HATA KAMA NI ZA KUPIKA CCM WAMEANGUKA SANA KUTOKA 62%-58.48% HII SI AFYA NJEMA KWA CCM.

WAJINGA WACHACHE NDO WANASHANGILIA KAMA JINGALAO. WENYE AKILI WANAJUA CHAMA KINAKUFA TARATIBU.
 
WHY CCM FOLLOWERS ARE UN EDUCATED AND TOTALLY LOW LIFE

Through my own experience I have come to see 90% of CCM followers are low life and uneducated

Most of them are coming from uswahilini and they really like mipasho and for God sake they don't know what us really going on
U have well spoken and the whole of it is a fact.
 
Back
Top Bottom