Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Habari zenu wana JF.
Kwa jinsi mvua zinavyonyesha jijini,nimewashuhudia baadhi ya wakazi wa mabondeni wakihama na kubomowa nyumba zao kwa hiari.Wengi wamekiri kuwa makazi ya mabondeni si salama hasa baada ya kutokea maafa kawe ambayo yameuwa takriban watu watano na kuacha umasukini mkubwa.
Baadhi ya wananchi. wameaminishwa na ukawa kwamba watahakikisha serikali inawalipa fidia ,sintofahamu iliyopo ni kwamba baadhi ya majengo yanaanguka kwa mvua huku wakihamasishwa kuchanga pesa za wanasheria.Siasa hizi za mabondeni ni chanzo cha anguko kwa wabunge na madiwani wa ukawa kwani ahadi yao haitatimia kama kupaka rangi upepo.
Onyo langu ni kuwa siasa hizi za kutetea wavunja sheria ziliwaathiri wanasiasa wa CCM kwa kushindwa kutimiza ahadi....sasa naona mwisho usio mwema kwa wanasiasa wa ukawa.
Karibuni kwa hoja na sio kelele.