Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
ITV KITIMOTO kama kawaida yao , jana wameandaa watu na kuwahoji kuhusiana na ONYO lilitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini(TMA) la uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara kwa wakazi wa Mabondeni.
Kama kawaida yao majibu ya wengi yakawa TMA ni waongo na wanatumia mbinu hizo kuwatisha wananchi ili waondoke mabondeni, yote hayo yanafanyika sijui kwa lengo gani, kuwasaidia wananchi hao au kuwachonganisha na serikali ya JPM. ITV wanajua wenyewe.
Ni wakati muafaka sasa Mbunge wa Kindoni nye kutembelea Mto Msimbazi katika Bonde la Mkwajuni ajionee na kujiuliza kama ni sahihi kufungua kesi kupinga watu wabondeni kuvunjiwa au la.
WANASIASA, VYOMBO VYA HABARI kuweni makini, mnaweza kutafuta sifa kwa wananchi lakini wananchi hao hao wakawalaani kwa JICHO LINGINE.