AMANI TANZANIA
Member
- Jun 11, 2015
- 5
- 2
Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii