UKAWA waitisha kikao cha dharura

UKAWA have planted the seeds of their own destruction..nilishasema mpaka Oct 25 hawa jamaa hawatokuwa wamoja..keep watching

Hizi ni ndoto za mchana mmekamatwa mkakamatika.huu uongo mnaoueneza humu ni ishara kuwa hali ya magamba ni mbaya mkaona mtoe post humu mkidhani mtawapata wajinga.moto wa Lowasa unamaliza nyika nyie mnadharau haya. Mnaandika lakini?
 
Uchaguzi wa U Rais UMEKWISHA na mshindi anajulikana tayari!UKAWA sasa wapambane na wabunge tu

Rais asiyemjua Gadafi wala Sadam ktk dunia ya leo unampigia kura ili iweje?
 
Hizi ni ndoto za mchana mmekamatwa mkakamatika.huu uongo mnaoueneza humu ni ishara kuwa hali ya magamba ni mbaya mkaona mtoe post humu mkidhani mtawapata wajinga.moto wa Lowasa unamaliza nyika nyie mnadharau haya. Mnaandika lakini?
Wanaweweseka,20/9/2015 mgombea wetu atakuwa na kampeni Mkoa wa Dar es salaam Majimbo ya Ukonga,Kigamboni na Mbagara.Hofu ya Mafuriko imewakumba.
 
Mtoa uzi umeonyesha umetumwa hiyo statement yako ya mwisho inaonyesha unatumika over
 
Vijana mlipewa kazi ya kutukana ukawa,kimbelembele cha kupotosha cha nini unaumbuka?
 
hiv kwa huu uonga wa waz utajisikiaje pale unapoona kampeni zinaendelea kama kawaida?
 
Mbona makamanda viongozi wetu wanatuchanganya hivo, tuchukueni maamuzi magumunkama ni hivo, hawa jamaa wanataka kutubuluza.

Haya ni maneno ya Magambaz baada ya kuona moto wa Ukawa ni mkali kupita kiasi...😅
 
Ukawa ma lowassa mpaka ikulu
 

Attachments

  • 1442634160880.jpg
    17.4 KB · Views: 398
Ukweli ni kwamba penye wengi kuna mengi, wengine ni mapandikizi tu ya chama kinachoondoka madarakani hivyo yameshapewa hongo yanakuwa na kazi moja tu ya kutafuta penye udhaifu ili yapenyeze migogoro na kudhoofisha chama. Rai yangu ni kwa viongozi wote na wanachama wa Ukawa kuwa makini zaidi sio juu tu bali mpaka shinani ,
 
Kikubwa ni kushika dola hayo mengine hatuyataki kuyasikia!
 


Can we know the source please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…