UKAWA waitisha kikao cha dharura

Mtasubiri sanaaaa kuliona hilo,na hamtaliona
 
Naona mnavyojitekenya na kucheka wenyewe
 
Badala muumize kichwa kubuni vitu vya kawaida kabisa kama logo ya mgombea wenu, mnalipwa kutunga story za ajabu ajabu, hapa huwa namshangaa hata huyu boss wenu.
 
Mbona makamanda viongozi wetu wanatuchanganya hivo, tuchukueni maamuzi magumunkama ni hivo, hawa jamaa wanataka kutubuluza.

Makamanda wa kweli wanaojitambua hawawezi kuburuzwa na akili ndogo, ndio maana viongozi wakuu walisepa mapemaa.
 
Atoke hata mbowe, au nani sijui mwaka huu ni maamuzi magumu tu. Kijani sasa baaaaaaasi! Tumechoka tunahitaji MABADILIKO na si MUENDELEZO wa magufuli. Tunamhitaji raisi LOWASAAAAAAAAAA hivyo hivyo alivyoooooooooo!
 

We ungeujua ukoo wa Lowasa na jinsi walivyojilimbikizia vyeo na mali, hata usingeandika ulichoandika. We unakwenda kama ling'ombe tu.
 
Ukawa wamewazidi sana Ccm kimkakati na kampeni za jukwaani

Kampeni Gani Za Jukwaani Unazozungumzia Wewe?Kampeni Za Dak 5?Kampeni Za Visingizio Mic Hazisikiki?Mikakati Hiyo Ipi?Kama Mmeshindwa Kuelewana Hata Kwa Wagombea Udiwani Na Ubunge Majimboni,?huko Ndo Mnakuita Mikakati?Mikakati Ya Mtu Akiondoka Kuhamia Chama Kingine Au Kuachia Ngazi Mnabaki Kumwita Msaliti Badala Ya Kufind Replacement?Mikakati Gani Mliyonayo?labda mkakati bora mpaka sasa mlionao ni kufanikiwa kuzitafuna vizuri pesa za fisadi lowassa!
 
Mi nashindwa kuelewa,, hivi vikao vya magamba kuweka mikakati ya kushinda uchaguzi chini ya mwenyekiti wao, mikakati ndio hii au ni mwehu tu wa mtaani kaibuka na kupost hii kitu. Maana kama ni mkakati uliowekwa na waliokuwa madarakani basi Nchi hii ilikuwa inajiendesha yenyewe. kweli "Hapa kazi tu"
 
Upinzani Tanzania haupo, waliopo ni tamaa tu hamna jipya hapo.
 

NCCR Mageuzi na CUF siku wakijitambua wataondoka tu, chadema ni mali ya kikundi cha wachache.
 
Siwezi kubishana na kilaza , hebu mrudisheni kwanza shule Mgombea wenu kwanza.View attachment 288473
 
Main concept ni strategies hawazijui na Mbowe sio wote anaowaamini kuwapa , na mtaa wa pili ndio hicho kiwaumizacho.
 
kwani ccm wameitisha vikao mara ngapi? mpaka mshangae vikao vya ukawa hiyo ni sehemu ya changa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…