Hii habari imenisikitisha na inaleta picha ukawa hawana msimamo wala mipango inayoelewekaMod, wakati Wahariri tukiwa njiani kuelekea Bahari Beach kuwasikiliza UKAWA, imekuja taarifa nyingine kutoka Jukwaa la Wahariri ikisema UKAWA wameahirisha Press Conference. Wameomba radhi, lakini wameweka angalizo wakitaka Wahariri wawe standby kwa maana hiyo Press Conf. inaweza kuitishwa tena. Naomba uunganishe hii taarifa hapo juu ili wananchi wajue.
Naona yale yale ya CCM ya kuwaweka wananchi roho juu ndiyo haya tena yanayoletwa na UKAWA. Wananchi wana kiu ya kupata jawabu la suala hili.
Mod, wakati Wahariri tukiwa njiani kuelekea Bahari Beach kuwasikiliza UKAWA, imekuja taarifa nyingine kutoka Jukwaa la Wahariri ikisema UKAWA wameahirisha Press Conference. Wameomba radhi, lakini wameweka angalizo wakitaka Wahariri wawe standby kwa maana hiyo Press Conf. inaweza kuitishwa tena. Naomba uunganishe hii taarifa hapo juu ili wananchi wajue.
Naona yale yale ya CCM ya kuwaweka wananchi roho juu ndiyo haya tena yanayoletwa na UKAWA. Wananchi wana kiu ya kupata jawabu la suala hili.
Lizaboni amechelewa kwa mganga wake kupiga tawile
Hata kwa muumba nikawaida adui wake mkubwa kugeuka rafiki wakaribu siku tu akikubali makosa na kutubu zambiMe sikubali kuwa Rais Slaa anaweza akamkubali fisadi yule anayemuimba kila siku. Itakuwa ni moja ya maajabu ya dunia. Atapoteza credibility yake yote. Na nyie wanaUkawa mnaokubali sijui mna matatizo gani.
Slaa ni Rais wa karatu, TFF au Yanga?Me sikubali kuwa Rais Slaa anaweza akamkubali fisadi yule anayemuimba kila siku. Itakuwa ni moja ya maajabu ya dunia. Atapoteza credibility yake yote. Na nyie wanaUkawa mnaokubali sijui mna matatizo gani.
tunasubiri kwa hamu ili tuikomboe nchi mikononi mwa wakoloni weusi.Tunamsubiri lzm siri za kuiangusha ccm tuzipate na mwaka huu kitaeleweka tuu..
Me sikubali kuwa Rais Slaa anaweza akamkubali fisadi yule anayemuimba kila siku. Itakuwa ni moja ya maajabu ya dunia. Atapoteza credibility yake yote. Na nyie wanaUkawa mnaokubali sijui mna matatizo gani.
Kumekuwa na uzushi wenye bashishi kuwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa atajiunga CHAEMA/UKAWA. Wengine wamefikia hata kumpa nafasi ya kugombea Urais huko. Pamoja na uzushi wao,wasemaji na wahabarishaji hao ni wageni kama si mambumbumbu wa kumfahamu Edward Lowassa.
Lowassa ni mwanaCCM kwelikweli. Si wa kubabaisha au kubabaishwa. Anaijua CCM na mifumo yake. Anaijua CCM na maamuzi yake. Lowassa,tangu alipokuwa TANU Youth League,amekuwa mtiifu na mfuata maamuzi. Amekatwa Dodoma,amekubali popote atakapokuwa.
Lowassa si wa kuunda zengwe dhidi ya CCM. Si wa kuingia kwenye physical and psychological real battle na CCM. Si Lowassa nimjuaye. Najua kitengo kilipiga ngoma ya kumchora kama mhamaji. Lakini,si kweli. Lowassa amekuwa Lowassa ndani ya siasa. Siasa za CCM. Hawezi kubomoa nyumba ambamo anaishi.
Acheni kuambiana na kuamini uzushi juu ya Lowassa. Lowassa ahami kimwili wala kiakili toka CCM. Wapeni nafasi ya kula nanasi UKAWA. Wawatajie mgombea wao wa kupambana na wetu: Dr. J.P. Magufuli aka Tingatinga!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
MPINZANI WA KWELI WA CCM ATATOKA CCM , NDIYE ANAYEIFAHAMU MITEGO YA DUDU HILI ------ ,PIA NDIE ANAYEFAHAMU HILA ZOTE ZA JOKA KUUii
CC: Invisible, ModeratorMod, wakati Wahariri tukiwa njiani kuelekea Bahari Beach kuwasikiliza UKAWA, imekuja taarifa nyingine kutoka Jukwaa la Wahariri ikisema UKAWA wameahirisha Press Conference. Wameomba radhi, lakini wameweka angalizo wakitaka Wahariri wawe standby kwa maana hiyo Press Conf. inaweza kuitishwa tena. Naomba uunganishe hii taarifa hapo juu ili wananchi wajue.
Naona yale yale ya CCM ya kuwaweka wananchi roho juu ndiyo haya tena yanayoletwa na UKAWA. Wananchi wana kiu ya kupata jawabu la suala hili.