UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,625
Reaction score
14,591
Wandugu kuna tetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika harambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemekana ilipatikana milioni ishirini tu! Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.

Watalijua Jiji.
 
Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina [MENTION]Kibo1[/MENTION] , chakii , TeamLowassa , kbosho na wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.

Aisee sikuwahi fikiri una akili chafu mithili ya kinyesi namna hii...

Mlimani City Ukumbi Milioni 30? umewahi fanya Sherehe pale?

Chakula Million 20?

Hivi kwanini CCM inakosa kabisa vijana wenye akili?
 
Last edited by a moderator:
Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , [MENTION]Mzee kabwela[/MENTION]na wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.

tunashukuru kwa uongo wako,
 
Last edited by a moderator:
Na bado ni endelevu, wengine hatujchangia bado, na tutachangia in thousands kwa uwezo wetu
 
Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , Mzee kabwelana wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.
Bado mnafuta umoja usio wa kisheria? Nyie hamna hata bendera ya umoja wenu. Hivi huo ni umoja au utengano?
 
Hivi kwanini CCM inakosa kabisa vijana wenye akili?

Wakifikiria wazazi wao au ndugu zao wana nyonya nchi kwa mgongo wa Sisim watakavyo filisiwa baada ya Oct. 25 lazma akili ziwaruke.

Tujaribu kuwavumilia ni stress tu
 
Ile ilikuwa danganya toto tu kuna mapesa mengi ya marafiki zetu kutoka nje yanakuja.
 
Bado mnafuta umoja usio wa kisheria? Nyie hamna hata bendera ya umoja wenu. Hivi huo ni umoja au utengano?

Baada ya uchaguzi utaendelea na injili au?

Hahahahahaaaa msalimu Ishmael

Duuuh siamini

CC: FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , [MENTION]Mzee kabwela[/MENTION]na wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.

Ww ni muongo kama ukufuatilia bora ukae kimya .meza 1 wamechangia million 23 bado meza zingine na mtu mmoja mmoja half unatuambia heti ukawa jana wamepata million 20 . Watu wametuma kwenye mitandao jana zaidi ya million20 half unatuambia heti wamepata million20 . Uongo wako peleka LUMUMBA .
 
Last edited by a moderator:
Vijana wengi wa ccm wanafikiri kwa kutumia makalio badala ya ubongo
 
Jamani mpeni hesabu anataka kuzipeleka kwa walo mtuma Lumumbastress.
 
Wakifikiria wazazi wao au ndugu zao wana nyonya nchi kwa mgongo wa Sisim watakavyo filisiwa baada ya Oct. 25 lazma akili ziwaruke.

Tujaribu kuwavumilia ni stress tu

Baada ya uchaguzi utaendelea na injili au?

Hahahahahaaaa msalimu Ishmael

Duuuh siamini

CC: FaizaFoxy

Nyie wapiga domo najua hata kualikwa hamkualikwa!

Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , [MENTION]Mzee kabwela[/MENTION]na wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.

Ni bora UKAWA wamethubutu kuwashirikisha wapigakura wao ambao wengi wao ni watu wa kawaida .
Hata kama wamekusanye laki moja. Ni bora kuliko mabilioni ya mafisisiem dili waliyopora kupitia rasilimali zetu.

CCM hawathubutu kutangaza chanzo cha mabilioni ya kampeni wanazotumia mana wezi wote na wauza ungalimitedi watatajwa kuhusika .
kuichangia CCM.

Nimefurahi sana kwa Uzinduzi wa kuchangia wana mabadiliko.
Jana dunia imeshuhudia kwamba Lowasa alikua anachangiwa na Maccm ambao wengi ni mafisi dili.

Ndani ya UKAWA Wanyonge tutachangia mabadiliko kwa buku buku mpaka kieleweke. Mafisadi wataichangia CCM mana wametishwa kuwa Lowasa atawasomba kwa kutumia mafuriko ya moto.

Naiona nchi mpya yenye mfumo wa kitanzania na sio wa kikoloni tuliourithi miaka 55 iliyopita.
Mfumo uliowafanya viongozi kujimilikisha nchi na familia zao.
 
Last edited by a moderator:
Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , [MENTION]Mzee kabwela[/MENTION]na wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.

Sawa Usisahau Kumpigia Kura Lowasa Tar 25 Oct
 
kijana wa IT masaki unahangaika
 
Ndugu yangu masopakyindi umefanya watu wapaniki.

Hakuna haja ya kupaniki. Ni lugha ya kifasihi tu inayotumika kuwaonyesha kuwa watu wamepigwa changa la macho na kubadilishiwa gia angani na kamanda wa anga. Usihamaki tafadhali nitaeleza kidogo.

1. Mleta mada anadai kumepatikana hasara; kama kumepatikana hasara kuna atakayehoji matumizi ya michango? HAKUNA!

2. Wote waliopaniki na kuhamaki hakuna hata mmoja anayejua ile harambee ilichangisha shilingi ngapi na hivyo kushindwa kujibu hoja ya mleta mada na kuishia kumwaga matusi.

3. Ni jambo la ajabu kwa harambee iliyotangazwa vila na watu kuchangia kwa njia za kidigitali jumla ya michago isiwekwe wazi na shukrani za dhati isitolewe mpaka sasa. Tafakari na chukua hatua..kama hesabu za kidigitali zinachukua muda mrefu hivi si hesabu za kura ukiwapa hawa watu itachukua miaka miwili?????

4. Fuatilia harambee na michango ya M4C ya Mpesa na Tigo pesa huwa haitangazwi. Kuna tuhuma tu za ndani kwa ndani kuwa wanene wanazipiga na kudai wamejikopesha au wamejilipa..
Vyovyote iwavyo michango ya wanachama inapaswa kutangazwa na kuwekwa wazi.

5. Lowassa ni bingwa wa harambee. Kazifanya nyingi na hata taasisi nyingi za kidini zimemtumia sana kwenye harambee. Matokeo ya harambee hutangazwa mara 1. Hakuna harambee ya Lowassa ambayo makusanyo hayajulikani.

Leo nashangaaa kaingia chadema, kafanya harambee ya kuuomba umma uchangie kampeni zake. Na maombi ya michango yametumia picha yake na yeye ndo alikuwa lengo mahususi la michango hiyo lakni hadi leo, hakuna jumla ya harambee iliyowekwa wazi kwa umma. Sijaona popote. Aliyeona atujuze tafadhali.

Harambee ya Lowassa imekuwa kama ile ya michango ya Mbowe.

6. Mleta mada anacheka kimoyo moyo kuwa waliochanga wamepigwa, tena wamepigwa kwa ule mlalo maarufu wa Lipumba ...yaani malalo wa mende.

Msinipige mawe, mimi sio mweka hazina wa harambee ya Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
Wandugu kunatetesi kuwa UKAWA wameingia hasara kubwa sana katika zharambee iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Waalikwa waliojitokeza kwa kuchangia Harambee husika walikuwa wachache sana na inasemejana ilipatikana milioni ishirini tu!
Gharama za ukumbi peke yake pale !limani City ni milioni 30, na chakula cha waalikwa ilikuwa kama milioni 20.

Kina TAMKO , chakii , TeamLowassa , kbosho , japanese , Watu8 , [MENTION]Mzee kabwela[/MENTION]na wengine wengi hawakujitokeza kuchangia.

Hivyo UKAWA imebugi na kuingia hasara kubwa, na hilo ni trailer ya 25 October 2015.
Watalijua Jiji.

Acha mawazo ya kimaskini nani kukwambia kuwa pale walienda kutafuta faida? Kwa taarifa yako kama hujui walikuwa wanazindua mpango wa kuchangia kupitia simu na hii inaendelea.acha mawazo mgando siasa uchwara
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom