Kwan hapo magufuli anahusikaje?Safi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
Dua la kuku...Kama ni kweli namuomba Mungu amtandike laana aumwe kiukweliukweli sasa .
Mbowe si UKAWA .Sisumbuki tena na hawa watu, kesho ikionekana Mbowe kapiga picha na Kikwete utasikia 'nani alikwambia siasa ni uadui?'
Mbowe anatisha ! Kuna wenzio wamejaribu kumloga kwa miaka 10 bila mafanikio .Wakati muafaka sasa kwa CDM kupata mwenyekiti mpya
Bora wewe mcheleEti Ukawa na wananchi,pumba tupu.
Hao hao wananchi they are tearing you apart since 1995.
Ha ha ha ha ha
Siasa za Tanzania zilipofikia ni zaidi ya uadui na waliotufikisha hapa ni polisi na ccm , shukrani kwa wananchi walioelewa vema sana kinachoendelea .Wanasikitisha sana, siasa za uadui hazijengi, siasa ni hoja sio vioja wanavyozua ukawa...
Ruzuku si mkutano wa ccm , tumekubaliana hakuna kusalimiana wala kushirikiana na wanaccm , hivi unaingia kwenye mkutano wao halafu unashikana mikono na Nape au lusinde ama labda yule mtoto wa kombani , nakuhakikishia hata shetani atatushangaa ! na mimi nimeitikia wito huo , yule hawara angu Mwanaccm nimemmwaga rasmi .Wakukosa halafu mnajidai mnasusia. Kama mabingwa wasusie ruzuku.