Hakitegemewi chema toka kwenuKwani wanamkomoa nani
Hahaha
Vituko hivi
Kweli mmesusa bunge lakini hakuna tatizo kitu kikaendelea bila shida
Leo mna susia mkutano WA mahasimu wenu
Eti mnaona hoja kupatia kick
Du!!
Mmeishiwa
una uhakika matokeo ya kura ktk uwazi wa tume huru ccm ingeshinda? ulza Jecha matokeo zanzibar, uliza polisi waliovamia kituo cha kukusanya matokeo ya ukawa.CCM na polisi, UKAWA na wananchi? Acha ndoto za asubuhi, CCM ina wapenzi wengi zaidi ya UKAWA. Ubaya wao siyo wapiga kelele kama wa Ukawa. Hamjifunzi na matokeo ya chaguzi zilizopita.
tuko pamoja nae raisi wetu kipenzi,leo hata sinza nyumba azipati wateja,mahoteli yanafungwa na maisha yanazidi kuwa matamu,hongera raisWananchi tuko bize na Magufuli,
Ameshusha kodi za korosho kutoka 20 hadi kodi tano tu.
Viva Magufuli.
Machadema na maukawa yakafie mbali huko
Hsisaidii kitu zaidi ya kujifungia ndani na kuangalia kwenye TV na pia wstapunguza gharama za mkutano hususani chakula na malazi.Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .
Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.
Chanzo - Mwananchi
MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .
CCM na polisi , UKAWA na wananchi .
Ccm siku mbowe akiondoka mtasherekea wiki nzima. Yule jamaa kichwa.Jamani, huwa napata taabu sana kutamka, 'Mwenyekiti Mbowe.' Huyu kwa jinsi alivyong'ang'ania uongozi wa cdm, ingefaa aitwe Sultani Mbowe, mwaonaje? Kila nikimwangalia jamaa, naona ukimwambia aachie kiti aweza dondosha machozi.
Sawa kabisa, tumesahau hoja ya ufisadi wasishuhudie anaechukia ufisadi na mafisadi akichukua mikoba ya Chama kilicho zalisha mafisadi safiii
Hivi waliokutukana bungeni wamebadilika nini chimwaga ?
na-diclare interest, sina upande wa vyama.
Siasa sii uadui, kususia mualiko ni kuongeza na kuchochea gap kati ya vyama na siasa na zaidi watanzania. Kwa mwendo huu itafikia hatua ya kukutana sehemu na kurushiana ngumi hadharani. Nawashauri ukawa kuitikia wito.
HATA WASIPOENDA INAWASAIDIA NINI CCM wAACHIE DUE LA KUKU HALIMPATA MWEWESafi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
kwani 2020 tayari? kalenda yangu ya kuchora kwa mkono vipi inanidanganya nini?Siku hio kutakuwa na mkutano wa Ukawa jangwani,imekaaje hii ?
Tatizo:
Kwa tulipofikia sasa: wakihudhuria mkutano huo, usishangae "live" wakaanza kupigwa vijembe,kukejeliwa ama "kunangwa".
Kwani UKAWA waliomba mwaliko!?
Wamekurupuka MACCM, yafanye uhuni dhidi ya UKAWA halafu yanageuka na kutuma mwaliko. Watu wa ajabu sana hawa.
ndio mkuu ungesaidia jambo fulani hivi
HATA WASIPOENDA INAWASAIDIA NINI CCM wAACHIE DUE LA KUKU HALIMPATA MWEWE
Eti Ukawa na wananchi,pumba tupu.
Hao hao wananchi they are tearing you apart since 1995.
Ha ha ha ha ha
Mbona huu ni msimamo wako c wa ukawa?Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .
Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.
Chanzo - Mwananchi
MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .
CCM na polisi , UKAWA na wananchi .