Safi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
Ukawa daima mbele nyuma mwiko haiwezekani ukatae nyama ule mchuziVyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .
Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.
Chanzo - Mwananchi
MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .
CCM na polisi , UKAWA na wananchi .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbowe hataki kushuhudia Jakaya Kikwete akikabidhi Madaraka kwa Magufuli
Mbowe ni Mwenyekiti Chadema Kabla Jakaya hajawa Chairman lakini kamkuta na kamuacha sasa atakosaje kuona aibu
Hivi hizo fomu za kugombea uenyekiti wa ccm zimeshaanza kutolewa au zimeisha?Mbowe hataki kushuhudia Jakaya Kikwete akikabidhi Madaraka kwa Magufuli
Mbowe ni Mwenyekiti Chadema Kabla Jakaya hajawa Chairman lakini kamkuta na kamuacha sasa atakosaje kuona aibu
Kweli kiongozi ccm ni wanaendelea na ubaguzi wao hakuna haja ya kuwaendekezaSafi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
Heshima huwa haiji hivi hivi.Hata uhuru tuliupigania hatukupewa kama zawadi.na-diclare interest, sina upande wa vyama.
Siasa sii uadui, kususia mualiko ni kuongeza na kuchochea gap kati ya vyama na siasa na zaidi watanzania. Kwa mwendo huu itafikia hatua ya kukutana sehemu na kurushiana ngumi hadharani. Nawashauri ukawa kuitikia wito.
Mkuu si vema kufukua makaburi , ukiwekewa matokeo ya uchaguzi humu utakimbia mjomba , ccm ina watu wachache mno .CCM na polisi, UKAWA na wananchi? Acha ndoto za asubuhi, CCM ina wapenzi wengi zaidi ya UKAWA. Ubaya wao siyo wapiga kelele kama wa Ukawa. Hamjifunzi na matokeo ya chaguzi zilizopita.
Hivi waliokutukana bungeni wamebadilika nini chimwaga ?na-diclare interest, sina upande wa vyama.
Siasa sii uadui, kususia mualiko ni kuongeza na kuchochea gap kati ya vyama na siasa na zaidi watanzania. Kwa mwendo huu itafikia hatua ya kukutana sehemu na kurushiana ngumi hadharani. Nawashauri ukawa kuitikia wito.
Unapojua wewe ni mjinga epuka kuni quote. Wewe kwa akili yako zile Pesa zilizotoka bungeni ni michango ya wabunge wa ccm?Mbona kwenye kupokea madawati walienda wakati hawakuchangia hata mia??
Ameshusha kodi na bei ni Ile Ile ya sh.1200 ya mwaka 2010Wananchi tuko bize na Magufuli,
Ameshusha kodi za korosho kutoka 20 hadi kodi tano tu.
Viva Magufuli.
Machadema na maukawa yakafie mbali huko
Inachekesha sana miaka tisa unamtukana Lowassa ni fisadi leo hii umekuwa mpambe wake mkubwa!
na-diclare interest, sina upande wa vyama.
Siasa sii uadui, kususia mualiko ni kuongeza na kuchochea gap kati ya vyama na siasa na zaidi watanzania. Kwa mwendo huu itafikia hatua ya kukutana sehemu na kurushiana ngumi hadharani. Nawashauri ukawa kuitikia wito.
HahahahhaHata siku ya kukabidhiwa Madawati Msigwa aliendeleza msimamo wa UKAWA kama kawaida....safi sana UKAWA hakuna kurudi nyuma.