Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,690
- 272,556
Safi sana naunga mkono uamuzi wa UKAWA. Demokrasi inabakwa na Magufuli nchini ndani na nje ya Bunge na kuwanyima UKAWA haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano yao, halafu bila hata aibu wanawaalika UKAWA eti wahudhurie mkutano wao!
Kuna hili pia , kama wenyewe kwa wenyewe hawaachiani maji ya kunywa mezani itakuwaje kwa sisi watu baki ?Tangu lini kuku akaalikwa kwenye birthday ya mwewe akaenda?
CCM wanawakaribisha ukawa kinafiki tu hujajua
Mbona kwenye kupokea madawati walienda wakati hawakuchangia hata mia??Wangekwenda hata mie ningewaona wajinga. Wao wanakatazwa ya kwao kuwa ni haramu kisha waalikwe kwa aliyewakataza eti yake halali?
Kwani huo ulikuwa mkutano wa ccm ?Mbona kwenye kupokea madawati walienda wakati hawakuchangia hata mia??
Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .
Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.
Chanzo - Mwananchi
MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .
CCM na polisi , UKAWA na wananchi .
Uchaguzi ulifanyika lini huko CCM?Mbowe hataki kushuhudia Jakaya Kikwete akikabidhi Madaraka kwa Magufuli
Mbowe ni Mwenyekiti Chadema Kabla Jakaya hajawa Chairman lakini kamkuta na kamuacha sasa atakosaje kuona aibu
CCM na polisi, UKAWA na wananchi? Acha ndoto za asubuhi, CCM ina wapenzi wengi zaidi ya UKAWA. Ubaya wao siyo wapiga kelele kama wa Ukawa. Hamjifunzi na matokeo ya chaguzi zilizopita.Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .
Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.
Chanzo - Mwananchi
MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .
CCM na polisi , UKAWA na wananchi .
Chezea madawati pale anawakilisha wananchi kama muwakilishi wao, alifikiri sana, na nadhani ni mjumbe wa kamati ya huduma za jamii ya bungeHata siku ya kukabidhiwa Madawati Msigwa aliendeleza msimamo wa UKAWA kama kawaida....safi sana UKAWA hakuna kurudi nyuma.