UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!


Wameona ni mpango wa kijinga usio na maana wala tija katika maendeleo!

Uchafue mazingira mwezi mzima halafu usafishe kwa mwezi mara moja!. Hivi wewe una akili timamu hata kuleta kiuzi mshenzi chako hapa?

Ungelikuwa na ufahamu, ungeliomba ushauri ili ujue njia sahihi ya kubadilia mazingira na kuhakikisha ni masafi kila siku kuliko hii aibu ya usafi wa ccm. UKAWA wanajua, wangekuambia na bila shaka ungeon maana halisi ya elimu!.

Vinginevyo, huna maana nenda kalale!.
 
Kodi za majengo zinahusu usafi, waacheni watu wakakimbizane na shillingi. Kila siku muwashughulishe bila malipo wakati nyinyi mkiweka tako kitini kufanya kazi mliyotumwa mnalamba posho!!!!
 
Mwenye picha ya Lowasa yupo ndani ya ofisi za chadema aitoe.

Kwa ofisi chafu namna hii hamtakaa muone lowasa humo.
 
hamjawawekea live TV halafu waende? bora bunge kuna kujirecord utume whatsap
 
Mbona sisi tulizibua mitaro na Mbunge wetu wa Segerea Viti Maalumu(Jimbo la Mtatiro 2020)
Mtaa wetu unaitwa "Mambo-Hadharani"....Kwa Ustadhi tunapopaki Magari na Athuman Mbonde Mzee wa Kyepe Kuku(Chips Kuku)
Hapo halali mtu mpaka kunakucha...Inye mvua linye juwa!!Ukiona pametulia ujuwe kiazi kinamenywa!!
 
Haya ni majibu ya 4U movement.....mna hasira sana.Pole!.
 
Chanzo cha habari tafadhali! naona unaandika tu! tupe reference! wewe tukuamini kama nani? kwanza hawa UKAWA sio ndio viongozi wa jiji? watagomeaje usafi? kabala sijakuhukumu mtoa post nipe reference! hili swala limepokewa kwa furaha na viongozi wetu wote bila kuwa na uchama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…