Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Acha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia takaAmani iwe kwenu.
Katika hali ya aibu mameya na madiwani wanaounda vyama vya ukawa jijini Dar Wamegomea kampeni ya usafi.Ikumbukwe serikali iliagiza kuwa na utaratibu wa kufanya usafi angalau mara moja kwa mwezi.
Majibu waliyoyatoa ni kuwa eti,wako "bize na masuala ya maendeleo ya wananchi".Usafi je?
Aibu nyingine ni kuwa, wameshinda kwenye mitandao ya kijamii kukosoa na kutoa unabii kuwa zoezi hili la usafi "lishindwe"..wamekuwa wakitowa picha za kejeli na kudhalilisha.
Ikumbukwe tabia hii ya kususa ni muendelezo wa "msuso" wa uchaguzi,"msuso" uchwara kwenye bunge la bajeti nk.
Ushauri.
Tabia hizi za kususia maendeleo zinawaweka katika hatari ya kuchokwa na baada ya miaka mitano mtapewa adhabu kali na wananchi.Msiruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwenu.
Dah...kwanini umeruhusu mbowe kukushikia akili.Acha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia taka
Dah...wameruhusu ujinga kutamalaki miongoni mwao.Sababu kubwa itakuwa ni kukosekana kwa live coverage ya hilo tukio....
Hapa nani anafanya usafi kiuhalisia?
Sikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa MaraAcha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia taka
Picha ya lini hiyo?Hapa nani anafanya usafi kiuhalisia?
Ya Jana jumamosi segerea mh Anatrophia TheonestPicha ya lini hiyo?
Cheki akili za UKAWA hizi. Yaani mkishaagizwa na babu yenu basi wote mnakuwa hivyo. Kweli maumvi kawashika. Akili ya kuambiwa.....jitahidini basi kujiongeza.Acha uzoba na umburula maendeleo hayaji kwa kufagia taka
We na jingalenu hamnatofauti wote mimburulaSikubaliani na Wewe... Mambo mengine Tusiwe wajinga kiasi hiki.. ni sawa na Kusema AfyaBora Hailetwi na kuoga Mara kwa Mara
Hahaaa...hahaaa hii ni aibu jamaa wameshika mifagio kwenye floor safi kabisa wanasubiri kamera, nadhani walikuwa wanatengeneza muvi.