Anguko kuu la ukawa hakuna suluhu kwenye hili cdm wana mgombea wao na cuf wanaye wa miaka yote nani atakubali kuwa chini waliwahi kushindwa mwanzo sababu ya cuf kuwa na mgombea wa kudumu na sababu hiyohiyo bado inaendelea hadi sasa.

Ndio maana tunashauri kuwa na timu ya wataalamu mchanganyiko badala ya mambo kama haya kuyaachia wanasiasa pekee ndani ya hivyo vyama. Kenya wenzetu walifanyaje kuitupilia mbali KANU?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.