Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,782
Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.
UKAWA andaeni video clip,mabango n.k vikionyesha Twiga anapandishwa ndege,tembo wanauwawa n.k pasipo kuhusisha picha hizo na jina la chama chochote cha siasa ila mkiwataka wananchi kwa kutumia picha hizo pamoja na maandishi maandishi kwenye mabango hayo wasichague chama kinachofumbia macho vitendo vya aina hiyo.
Mnaweza pia kuandaa video clip na mkazilipia zikarushwa na vituo vya Television vikionyesha athari za madawa ya kulevya,mauji ya Tembo,watoto kukaa chini mashuleni n.k.
Kwa mfano,andaeni picha au video clip inayoonyesha watoto wanakaa chini mashuleni huku picha au clip ikiambatana na ujumbu kuwa ukichagua UKAWA mtoto wako hatokaa chini tena darasani n.k.
Kama kuna watu wataolalamika muwambie wajirekebishe kwanza kabla ya kuendelea kulalamika.
Mwisho,Lowassa na wewe funguka kwa unayoyajua kuhusu wanaokushambulia.
Muhimu:
Matangazo au picha hizo zisivunje sheria za nchi na sheria za uchaguzi bali zilenge kufanya campaign bila kukiuka sheria kwa kuonyesha uhalisia wa mambo yalivyo katika nchi yetu.
Mnaweza pia kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi kabla ya kutumia picha hizo ili kupata baraka za Tume.
Kamanda Salary Slip hakika yafaa tubadlike subl niende YouTube nikachunguze
Nyie ndy mna Homa tena zaidi ya dengue! Kwann jana pale kariako walitoa bango kubwa la lowasa mpaka mkazomewaaaaa...hapo nani ana presha ccm au ukawa?Dr slaa fever hahahaha
Dr slaa fever hahahaha
Lowasa kaa hivyo hivyo kimya Busara zako Mungu atawashangaza
Mdharau mwiba....
Mbona na wewe unalalamika tu? Huna jipya
Wana-Ukawa huu si muda wa kuendelea kulalamika bali tunapaswa kujibu mapigo kwa vitendo.Tunalalamika,hakuna hatua za maana zinazochukuliwa na mwisho wa siku tutajikuta tumeshachelewa.
UKAWA andaeni video clip,mabango n.k vikionyesha Twiga anapandishwa ndege,tembo wanauwawa n.k pasipo kuhusisha picha hizo na jina la chama chochote cha siasa ila mkiwataka wananchi kwa kutumia picha hizo pamoja na maandishi kwenye mabango hayo wasichague chama kinachofumbia macho vitendo vya aina hiyo.
Mnaweza pia kuandaa video clip na mkazilipia zikarushwa na vituo vya Television vikionyesha athari za madawa ya kulevya,mauji ya Tembo,watoto kukaa chini mashuleni n.k.
Kwa mfano,andaeni picha au video clip inayoonyesha watoto wanakaa chini mashuleni huku picha au clip hiyo ikiambatana na ujumbu kuwa ukichagua UKAWA mtoto wako hatokaa chini tena darasani n.k.
Pia mnaweza kutumia picha halisi za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoandamana kwa kukosa/kucheleweshewa mikopo yao na picha hizo zikaandamana na ujumbe unaoweza kusome: "epukana na adhaa hii kwa kuchagua UKAWA/CHADEMA kwani tutatoe elimu bure mpaka chuo kikuu".
Kama kuna watu wataolalamika muwambie wajirekebishe kwanza kabla ya kuendelea kulalamika.
Mwisho,Lowassa na wewe funguka kwa unayoyajua kuhusu wanaokushambulia.
Muhimu:
Matangazo au picha hizo zisivunje sheria za nchi na sheria za uchaguzi bali zilenge kufanya campaign bila kukiuka sheria kwa kuonyesha uhalisia wa mambo yalivyo katika nchi yetu.
Mnaweza pia kuwasiliana na Tume ya Uchaguzi pamoja na TCRA kabla ya kutumia picha hizo ili kupata baraka za Taasisi hizo ambazo zinazohusika na mambo haya.
Acha utoto, cc hatuchagui chama, cc tunachagua kiongozi safi na makini, nyie mnaochagua chama ndo tatizo nchini, kwa hiyo ndo maana mmechukua fisadi mkuu kwa maana ya kuchagua chama sio, achaneni mambo ya kijinga kiasi hicho, na hicho kihele hele chenu ndo kimewafikisha hapo, ww unajua kabisa kwamba huyu ni muathirika na unashauliwa kutumia condom ww huvai condom unategemea nn? mlikuwa na viongozi wazuri sana ila kwa ajili ya tamaa ya pesa ndo imeifikisha hapo chadema na UKAWA, mabango yanakusaidia nn kama ww una fisadi sugu? mbona hata kwenye mikutano yao hawazungumziu rushwa na ufisadi, wewe huyaoni hayo? Nyie wachagua chama mtajikuta mnabaki wachache na hao wapiga dili wenu.