Sio siri TANESCO wana mchango mkubwa sana katika kufanikisha ushindi hapo mwezi wa 10, ni mwenda wazimu atakaye puuza mchango wa TANESCO, na nawaomba waendelee kukata umeme hivyo hivyo tukutane October 25.
Nakwambia Tanesco tutaifumua yote,alafu tutajionea jinsi majizi yalivyojimilikishia fedha na kupeana madaraka kiholela,MTU ni form 4 eti ndio meneja mkoa...ccm to hell...
umeme haujakatwa ila kuna mgao tangu umeanza ni mwezi mmoja sasa,je mlitaka tufanyaje?hatuwezi tangazia umma kuhusu mgao maana hiki ni kipindi kigumu sana kwa watawala so tunapiga kimya kimya,wenyewe hatupendi lakini tutafanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.