UKAWA shughulikieni majimbo yenye mikanganyiko haraka!

kuungutana

Senior Member
May 9, 2012
148
59
Wadau wapenda mabadiliko.

Kuna baadhi ya majimbo wagombea wawili wamerudisha forms kinyume na mgawanyo wa majimbo ulivyoainisha.Mfano ni jimbo la mlalo ambalo ni la CUF kimgawanyo lakini mgombea wa CHADEMA nae karudisha forms.

Ni vema changamoto hii ika tatuliwa kinyume chake jimbo litaenda Lumumba.
 
Kwani UKAWA kimesimamisha mgombea wapi? UKAWA siyo chama cha siasa na sidhani kama ni haki kuwafunga wanachama wote nchi nzima kama wanaamini wanakubalika kugombea. Waachwe wapigiwe kura.
 
Chadema ni wasaliti wa MAGEUZI majimbo Mengi ya cuf wamesimamisha wagombea
 
Wadau wapenda mabadiliko.
Kuna baadhi ya majimbo wagombea wawili wamerudisha forms kinyume na mgawanyo wa majimbo ulivyoainisha.mfano ni jimbo la mlalo ambalo ni la CUF kimgawanyo lakin mgombea wa chadema nae karudisha forms.ni vema changamoto hii ika tatuliwa kinyume chake jimbo litaenda lumumba.
Safi kwa sababu cuf naona wamepitisha mamluki wengi mmoja ndio hilo jimbo limekwenda bure.

swissme
 
Mimi nadhani wamefanya vizuri sana ilikuepuka mgombea kurubuniwa kama tetesi ilivyo kwa jimbo la Nanyamba ambalo lipo Cuf na mgombea kashindwa kurudisha fomu.
 
Kwani UKAWA kimesimamisha mgombea wapi? UKAWA siyo chama cha siasa na sidhani kama ni haki kuwafunga wanachama wote nchi nzima kama wanaamini wanakubalika kugombea. Waachwe wapigiwe kura.
Mkuu huamini katika UKAWA! Ngoja wenye UKAWA yao waje uone watakavyokunyambua!

UKAWA ni mzigo!
 
Chadema ni wasaliti wa MAGEUZI majimbo Mengi ya cuf wamesimamisha wagombea
CUF wameingia kwenye kilengeo cha CHADEMA na tayari CHADEMA inavuta tu trigger na kuifyatua! Hakuna cha UKAWA bali UKIWA kwa CUF na wenzake. Ngoja kampeni zifunguliwe rasmi kama utasikia kitu inayoitwa UKAWA, kila mahala itakuwa CHADEMA.

LABDA MIMI NISEME, LABDA MIMI NISEME nampongeza sana Freeman Aikael Mbowe kwa kuviua vyama vingine vya upinzani na sasa tunaweza kuona kuna vyama viwili tu vyenye nguvu hapa Tanzania yaani CCM ikifuatiwa na CHADEMA.
 
Safi kwa sababu cuf naona wamepitisha mamluki wengi mmoja ndio hilo jimbo limekwenda bure.

swissme

mkuu CUF ktk jimbo hilo wako vema chaguzi zilizopita kama si uchakachuaji lingekua lao.fanya ka-hme work kidogo utapata ukweli.
 
sasa hapa unaongea nn?tayar mgombea wa cuf amepiga manot na amesepa alafu unabwabwaja kuwa cuf wana nafas ktk jimbo?kuwa mwelewa xaxa utafit wa nn?kama tayar ccm imepita bila kupingwa
 
Hapa naona kuna mawili,aidha humo kabisa na kuna maharage umekula au unazungumzia jimbo lingine.mm jimbo ni MLALO lipo LUSHOTO na mgombea wa CUF karejesha forms na wa chadema nae kafanya hivyphivyo!
 
Chadema ni wasaliti wa MAGEUZI majimbo Mengi ya cuf wamesimamisha wagombea

Sio wasaliti nadhani sehemu nyingine wamechukua tu hadhari,kwa mfano la kilichotokea Jimbo la Nanyamba kama wangekuwa wamechukua fomu wagombea wote kusingetokea tatizo
 
Kwani UKAWA kimesimamisha mgombea wapi? UKAWA siyo chama cha siasa na sidhani kama ni haki kuwafunga wanachama wote nchi nzima kama wanaamini wanakubalika kugombea. Waachwe wapigiwe kura.
Ni muda muafaka tuanze kukuupuza kabisa.Huitaki mema UKAWA na umegeuka mzee wa Lumumba siku hizi!
 
CDM masrahi wanajifanya wao ndo wao ila wataipata kutoka kwetu CDM orijino
 
Back
Top Bottom