Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,633
- 6,229
Nchi nyingi za Kilatino wamekuwa na aina nyingi za Slogan au Motto ambazo huzitumia ili kuwahamasisha Makamanda wao popote inapotokea wanapigania haki zao.
Wa-Cuba na wengine kadhaa wana msemo wao walioutumia miaka hizo wanapigania uhuru "Patria o Muerte, Venceremos" ambayo maana yake ni "Homeland or Death, We shall overcome".
Yes, ni Tanzania au KIFO, tutashinda. Huo ndiyo ukweli wenyewe ambao unatakiwa kusemwa waziwazi.
Kama kuna watu watakuja na kila aina ya vitisho, basi wajue kuwa mwisho wa siku, mshindi atakuwa Mtanzania.
Wengi walishajaribu kupigana na Wananchi wao na wakashindwa vibaya sana.
Kwa sasa hivi, mtetezi anayeweza kumuondoa MKOLONI mweusi ni UKAWA peke yake.
Msitutishe Wananchi kwa maneno ya Mbowe atajiunga CCM, Lipumba amehamia Rwanda, sijui nani kafanya kile au hiki.
Hatujali sana nani kajiunga au kajitoa UKAWA. Sisi jibu ni moja tu, UKAWA ndiyo chombo cha kumuondoa Mkoloni mweusi anayetawala Tanzania kwa miaka zaidi ya 50 huku akijimilikisha haki miliki ya nchi hii kwa vitisho vya MTAKIONA CHA MTEMA KUNI na vingine vingi huku wengine wakijeruhiwa vibaya kama Ulimboka na wengine wakipoteza maisha kama Mwangosi. Hawa wote damu yao haitamwagika bure. Kuna siku mtu atalipa.
Kwa wale wote wanaobeza Ukawa sisi tuna Motto moja tu kwa leo:
UKAWA O MUERTE ---- UKAWA AU KIFO ---- UKAWA OR DEATH.