Mwl. Kaijage
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 216
- 214
Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.
Kwani hata serikali za mitaa walishindwa kudhibitisha dhana ya umoja huo wa viongozi.
Hivi inaingia akilini kwamba Chadema wanaweza kukubali kuwa Prof. Lipumba awe mgombea wa umoja huu wa viongozi,kamwe huo ndio utakuwa mwisho wa umoja huu wa viongozi.

Hofuyako nini? Waache wasaratike si wao? Kinachokuuma nini? Nashangaa unatumia muda wako kujadiri kitu unachokiona kinakufa badara ya kujadiri Lowassa kuombwa kugombea Uraisi, Dili na chama chako hawa waache wafe tu. Mkwamo mwaka huu mtasema mengi.
= kujadili
= badala
Samahani, wewe ni Mtanzania? na ulisoma hapa hapa Tanzania? nnahisi kama shule uliyokwenda ulienda kusomea ujinga.
FaizaFoxy nadhani yatosha kumwelewesha kosa lilipo. Kuanza kumzodoa juu ya yeye elimu yake ni kiwango tosha kusema watawala hawajaweka mfumo wenye kutoa elimu bora.
Ujinga tulionao watanzania wengi umechangiwa elimu duni.....weye ulibahatika vema kusaidia bila kuweka mipasho...
hivi wewe ni mwalimu wa ngoma au kwaya? mbona hisa yako ya akili ipo below 47?
siwezi kushangaa kwani hata title yako inadharaulika kama mawazo yako.Je hii katiba inayopendekezwa ni ya nani vile Sita na kina....Nashangaa sana eti UKAWA itasimamisha mgombea mmoja ktk majimbo ya uchaguzi. Hiki kitu kamwe ni mbio za sakafuni,umoja huu wa viongozi wa ngazi ya taifa kamwe hauwezi kufanikiwa kwa sababu haukushirikisha viongozi wa ngazi za chini wa vyama vyao.