Ukawa ni rangi mpya gari ya zamani

tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,750
757
Salaam wana jf.

Kama kuna ulaghai basi ni huu wa ukawa.sijaona mabadiliko yoyote yanayotarajiwa kupitia huu muungano.
Kwanza vyama vitatu Chadema,Cuf na Nccr vyote viliwahi kushika nafasi ya pili katika chaguzi kuu hapa nchini.
Shida au tatizo ni kwamba hakuna hata mmoja alieweza kung'ang'ania nafasi ya pili kwa kuonyesha ushindani na JEMBE.
Lakini katika hivyo vyama vyote chama ambacho siwezi kukihesabia kwenye upinzani halisi ni CHADEMA.kwasababu ilipata nguvu kwa upepo wa msimu.
Kuhusu chadema nimeshawaambia nina maswali Elfu Moja Na Moja (1001).Lakini swali jepesi kuliko yote ni "je ni lini chama kimekua imara?"
Kwaujumla UKAWA ni kama nyumba iliosimama juu ya mchanga na kama ni gari, basi limepakwa rangi mpya lakini gari ni lilelile ya zamani.

SIO LAZIMA TUKUBALIANE KWA KILA KITU NA SI LAZIMA TUPINGANE KWA KILA KITU.

Naomba kuwasilisha.
 
Endelea kuota na hadithi zako za Elfu Lela ulela ...
 
Ni swala la kimtazamo tu. Wakati wewe unauona UKAWA kwa sura hiyo, kuna wanaoiona CCM ni mkokoteni wa zamani, wenye rangi ya zamani! Kama nilivyosema ni mtazamo tu.

Kuhusu chama chochote kuwa au kutokuwa na nguvu, hilo lisikupe shida. Upinzani huwa haujengwi kwenye chama, upinzani huwa unajengwa kwenye imani ya wananchi kuona ubovu wa chama tawala na kuona haja ya kufanya mabadiliko. Kwa hivyo iwe ni kupitia UKAWA au iwe CHADEMA isiyo na nguvu kama unavyodai, au iwe NCCR, kinacho-matter ni elimu ya mabadiliko wanayopata wananchi. Hili ni vuguvugu la mabadiliko tu. Kadri muda unavyoenda utagundua wananchi wanaelewa wanachopaswa kufanya. Halafu ndiyo unakuja ule wakati ambapo wananchi wanaamua kuungana kuchagua chochote tu, mradi siyo CCM! najua huwezi kunielewa, ila Mungu akuhifadhi uone kwa vitendo. Ila mimi niko confident, kama mwanahistoria na kama mpenda mabadiliko. Najua huwa inakuwaje!

Ushauri wangu ni kuwa hata wale wanaoona hawaoni vizuri kwa sasa, wanahitaji tu kuwa open minded basi. muda ukifika watajua cha kufanya.
 
...subiri uone kazi ya rangi mpya inayowanyima usingizi ccm...
 
inaonekana unamapenzi sana na ccm. hivi huwaonei huruma hata wazazi wako na ndugu zako wengine wanavyoteseka kwa kukosa huduma bora na hali nchi ina kila kitu. hebu jitathimini bhana. ahhhk!

Salaam wana jf.

Kama kuna ulaghai basi ni huu wa ukawa.sijaona mabadiliko yoyote yanayotarajiwa kupitia huu muungano.
Kwanza vyama vitatu Chadema,Cuf na Nccr vyote viliwahi kushika nafasi ya pili katika chaguzi kuu hapa nchini.
Shida au tatizo ni kwamba hakuna hata mmoja alieweza kung'ang'ania nafasi ya pili kwa kuonyesha ushindani na JEMBE.
Lakini katika hivyo vyama vyote chama ambacho siwezi kukihesabia kwenye upinzani halisi ni CHADEMA.kwasababu ilipata nguvu kwa upepo wa msimu.
Kuhusu chadema nimeshawaambia nina maswali Elfu Moja Na Moja (1001).Lakini swali jepesi kuliko yote ni "je ni lini chama kimekua imara?"
Kwaujumla UKAWA ni kama nyumba iliosimama juu ya mchanga na kama ni gari, basi limepakwa rangi mpya lakini gari ni lilelile ya zamani.

SIO LAZIMA TUKUBALIANE KWA KILA KITU NA SI LAZIMA TUPINGANE KWA KILA KITU.

Naomba kuwasilisha.
 
inaonekana unamapenzi sana na ccm. hivi huwaonei huruma hata wazazi wako na ndugu zako wengine wanavyoteseka kwa kukosa huduma bora na hali nchi ina kila kitu. hebu jitathimini bhana. ahhhk!

Nchi hii ina kila kitu. Tunakosa UPINZANI wa KWELI TU!
 
Binafsi sikutegemea hatakidogo kushuhudia mtukama prof. Lipumba atabuluzwa namtu kama mbowe hana lolote zaidi ya anasa eeti ndio m/kti wa ukawa huyu prof. Wakinyamwezi amebaki mjumbe ndio2
 
Salaam wana jf.

Kama kuna ulaghai basi ni huu wa ukawa.sijaona mabadiliko yoyote yanayotarajiwa kupitia huu muungano.
Kwanza vyama vitatu Chadema,Cuf na Nccr vyote viliwahi kushika nafasi ya pili katika chaguzi kuu hapa nchini.
Shida au tatizo ni kwamba hakuna hata mmoja alieweza kung'ang'ania nafasi ya pili kwa kuonyesha ushindani na JEMBE.
Lakini katika hivyo vyama vyote chama ambacho siwezi kukihesabia kwenye upinzani halisi ni CHADEMA.kwasababu ilipata nguvu kwa upepo wa msimu.
Kuhusu chadema nimeshawaambia nina maswali Elfu Moja Na Moja (1001).Lakini swali jepesi kuliko yote ni "je ni lini chama kimekua imara?"
Kwaujumla UKAWA ni kama nyumba iliosimama juu ya mchanga na kama ni gari, basi limepakwa rangi mpya lakini gari ni lilelile ya zamani.

SIO LAZIMA TUKUBALIANE KWA KILA KITU NA SI LAZIMA TUPINGANE KWA KILA KITU.

Naomba kuwasilisha.

Let's wait and see!
 
...subiri uone kazi ya rangi mpya inayowanyima usingizi ccm...

Tutasubiria usafiri mwingine au uleule tuliouzoea.
Tuliwatuma mkatuletee katiba mpya mnatuletea mgombea mmoja.

Sura mpya miguu ya zamani.
 
Salaam wana jf.

Kama kuna ulaghai basi ni huu wa ukawa.sijaona mabadiliko yoyote yanayotarajiwa kupitia huu muungano.
Kwanza vyama vitatu Chadema,Cuf na Nccr vyote viliwahi kushika nafasi ya pili katika chaguzi kuu hapa nchini.
Shida au tatizo ni kwamba hakuna hata mmoja alieweza kung'ang'ania nafasi ya pili kwa kuonyesha ushindani na JEMBE.
Lakini katika hivyo vyama vyote chama ambacho siwezi kukihesabia kwenye upinzani halisi ni CHADEMA.kwasababu ilipata nguvu kwa upepo wa msimu.
Kuhusu chadema nimeshawaambia nina maswali Elfu Moja Na Moja (1001).Lakini swali jepesi kuliko yote ni "je ni lini chama kimekua imara?"
Kwaujumla UKAWA ni kama nyumba iliosimama juu ya mchanga na kama ni gari, basi limepakwa rangi mpya lakini gari ni lilelile ya zamani.

SIO LAZIMA TUKUBALIANE KWA KILA KITU NA SI LAZIMA TUPINGANE KWA KILA KITU.

Naomba kuwasilisha.
Tunaona tuvionavyo kwa sbb kuna vingine tusivyoviona!
 
Back
Top Bottom