UKAWA ni nguvu na sauti yetu

UKAWA ni nguvu na sauti yetu

Mwanalinze

Member
Joined
Apr 15, 2014
Posts
32
Reaction score
9
Atakaye shindana na malengo ya pamoja ya UKAWA kimsingi ni mtu asiye na nia njema na wananchi bila kujali anaongea nn. Km ni mapungufu tuyaseme kuboresha UKAWA na su kuponda nguvu iliyowaleta pamoja.

Kwa hili tuaenda mbali na kutazama maslahi pana ya Nchi, Tofauti ya Chadema na Zitto haina mashiko coz wote walikuwa na nia moja kuleta mabadiliko. Naikumbuka speech ya Zitto pale Kibaha akimbadi Machange.

So let's move together Zitto for the accomplishment ya yale yote tuliyohitaji kuiletea nchi yetu. Zitto, Hamad rashid, Machange etc all now in one boat for aim to bring changes.
 
UKAWA hawana kipya wale ni wasaka tonge tu hakuna kiongozi pale.
 
Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.

Kama Zitto ni wa maana sana mchukueni mumfanye mwenyekiti wenu. Kwasababu kwa sasa hamna mwenyekiti....ipo nazi pale.
 
Wote wanaopiga kelele kwamba UKAWA utakuwa failure ni wale ambao wanauogopa huu muungano.

Wanaouunga mkono na kuukaribisha wanajulikana kwa aina ya maneno wayasemayo.

Taarifa ya chama cha CHAUMA imeeleweka.
 
Hawa si wenzetu kabisa, hawa ni mawakala wa watawala, tuwafutwe ndani ya mioyo yetu.

Hamad Rashid, Zitto Kabwe, Augustine Mrema na John Cheyo.
 
Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.

kumbe mkuu mlijipanga kuanzisha uzi unaomhusu zitto ili mupate cha kusema??!!...inasikitish sana watu wanaongelea nchi wewe unaongelea mtu mmoja mmoja tena kwa manufaa yenu?
 
Mbona mnaanza kuweweseka hamjiamini na muungano wenu nini?
 
Hahaa, ZITTO ni noma tofauti yake na Chadema ndiyo sababu ya kuundwa kwa UKAWA. CHADEMA walishapoteza dira
 
kumbe mkuu mlijipanga kuanzisha uzi unaomhusu zitto ili mupate cha kusema??!!...inasikitish sana watu wanaongelea nchi wewe unaongelea mtu mmoja mmoja tena kwa manufaa yenu?
Uzi unahusu nguvu y UKAWA, siyo ZITTO ila kwa sababu UKAWA wanajua kuwa muungano wao umetokana na Chadema kudhoofika kutokana na mapigo ya kijana ZITTO basi hawana budi kumpamba asije akubomoa na muungano wenyewe
 
Hakuna nafasi ya wasaliti cdm,na ndio maana mjadala wao ulishafungwa! Akajiunge na magamba wenzake huko
 
Zitto ana competence zake na hatuwezi kuzidharau mapungufu pia anayo km binadamu mwingine. Hatujadili tofauti hz zimepita ss tunatazama mbele kuleta mabadiliko. Usaliti na mengine yote yamepita UKAWA ni Tumaini letu wote. Zitto na wote tuunganishe nguvu twende mbele kuna watu hapa wanaongeza chumvi kwenye mambo yaliyopita kuendelea kutugawa. Hamna mwenye malengo yake mwenyewe. Bado ZITTO NI MWANA CHADEMA mpaka atakapo hama rasmi. Uongozi ni nafasi tu.
 
Back
Top Bottom