Ukawa ni Moto Mkali

Ukawa ni Moto Mkali

Chadema tanganyika cuf zanzibar ndio habari ya mujini
 
Wana jamvi ccm na washirika wao watake wasitake ukawa ni umoja unao undwa na kundi la wazalendo maksusi wa tanganyika na znz,tena kwa ufuatiliaji makini nimegundua ukawa wana ungwa mkono na kundi kubwa la wazalendo wa nchi hizi mbili,wasomi wa juu,wakati na wasomi wa chini pamoja makundi ya dini zote huku baadhi ya wabunge wa ccm pia wakitamani kuwepo ndani ya ukawa maana hoja zao ni tafu na zenye mashiko makubwa kwa taifa
 
Ukawa karibuni rufiji maana huku ndio tumepigwa sana na magamba tangu uhuru hakuna kitu
 
Acha hizo hakuna anawaunga bila kuangalia je manufaa yao ni kwa taifa au maslahi binafsi
 
Ukawa ndo kila kitu.kwa Taarifa iliyo rasmi ukawa wameruhusiwa kufanya maandamano nchi nzima na yataanzia huko Zanzibar na baadae Tanganyika
 
We huoni mtu katumwa alete katiba anatoka manayake nini?
teh teh,mkuu katiba haipatikani kwa kutukana wengine,kwa kukejeli wengine, kwa kuendekeza ubaguzi, chuki na mipasho. Dodoma haiwezi kutupa katiba mpya kamwe, chini ya hawa mainterahamwe! Wanalipwa posho ya bure tu!
 
Watanzania wameshakuwa makini kuliko mnavyofikiri, ukawa hauwezi kufanikiwa kuwahadaa hata siku moja.
 
Back
Top Bottom