Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Leo katika pitapita zangu,nimekutana na vijana wawili,watanashati wanasifia UKAWA.Hawa vijana walikuwa karibu na kituo cha bodaboda KLC ,Singida mjini.
Kilichonishangaza ni pale walipo anza kuimba wimbo wa kuusifia UKAWA ule wimbo maarufu wa CHADEMA (UKAWA)CHADEMA(UKAWA) CHADEMA(UKAWA) PEOPLES POWER.(KATIBA YETU)
Katika kuimba wale madereva bodaboda waliwaunga mkono na kuimba pamoja na kushangilia kwa nguvu