Hahahahahaaaaa. Yamepinduliwa na nani? Lowasa aliahidi kuwa atalinda kura zake. Sasa mnalialia nini?Ni baada ya matokeo kupinduliwa, wanajipanga
Agenda yao sasa ni konekana kwenye TV bungeni!Kwa sasa naona hakuna umuhimu wa uwepo wa ukawa kwakuwa ni kama kila mtu anashika njia yake, hakuna vikao vya pamoja wala feedback kwetu juu ya mipango yao na utekelezaji. UKAWA wanasimamia jambo gani kwa sasa?
unajipendekeza nenda zako kwa mapoyoyo wenzako.Kwani hujui imeshakuwa UKIWA maana Magufurika ametekeleza yote so hawana cha kupinga tena
Hahahahaha! Ukiguswa kwenye JIPU pana uma eeeh? Jiandae hakuna namna lazima ukamuliwe tu, na kwa bahati mbaya zaidi mkamuaji hana dawa ya ganzi.unajipendekeza nenda zako kwa mapoyoyo wenzako.
swissme
Unajua kwanini ndugu zako wa ukawa now wapo kimya? Wanangoja zamu yao ya kukamuliwa majibu..ndiyo maana waona wapo kimyaa wakihofia.Serikali ya viwanda vya kufikirika "Bring back our Bunge live"
Sawa dada,usisahau kumpa mumeo chai huu ndio muda!Unajua kwanini ndugu zako wa ukawa now wapo kimya? Wanangoja zamu yao ya kukamuliwa majibu..ndiyo maana waona wapo kimyaa wakihofia.
Vitendo vyenyewe mnatendea wapi? Au chooni..mbona hatuwaoni hadharani? Mliipoze lulu yenu mlipo mpuuza Dr. Slaa now hamna pa kushika mnaweweseka tuKumbuka usemi wa katibu mkuu "kwa sasa siyo wakati wakuropoka ropoka tena ni vitendo turn"
Naongelea UKAWA hii inayoenda na matukioMtoa hoja/thread nazanii umekurupuka na haujajipanga..sijui labda unaongelea ukawa IPI?
Huyu mama ni mtetea haki za mafisadi na wala si za binadamu kama anavyojinasibu..ana elements za uchadema sana bila Shaka yupo kwa masrahi ya hao, but mwambieni awamu hii si ya mchezo hata yeye anaweza tumbuliwa mijibu yake.Agenda yao sasa ni konekana kwenye TV bungeni!
Wamwite Mama Helena Bi Simba awatetee kama haki za binadamu!
Kwa bahati nzuri najua wajibu wangu, na malezi ya wazazi wangu yananitosha wala sina haja ya fundishwa kitu ktk eneo hilo.Sawa dada,usisahau kumpa mumeo chai huu ndio muda!
pumba tupuHahahahaha! Ukiguswa kwenye JIPU pana uma eeeh? Jiandae hakuna namna lazima ukamuliwe tu, na kwa bahati mbaya zaidi mkamuaji hana dawa ya ganzi.
Ni mchagaa kama alivyo na Ananilea Nkya.Uchagga unawasumbua tu.Huyu mama ni mtetea haki za mafisadi na wala si za binadamu kama anavyojinasibu..ana elements za uchadema sana bila Shaka yupo kwa masrahi ya hao, but mwambieni awamu hii si ya mchezo hata yeye anaweza tumbuliwa mijibu yake.