UKAWA, nenda huko kwenye mitandao, Lowassa ndio Raisi wa mitandao

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11954554_10207379306541317_5007881366273801368_n.jpg
 
Lowasa ameonesha udhaifu sana nilitegemea kuiskia sera makin lakn hovyo kabisa.

Eti mkasome kwenye mitandao kwahyo sisi tulio vijijin ambako network mpaka ukapande mti imekula kwetu?
Sisi mamantilie tunaoshinda kupika na simu zetu n za tochi imekula kwetu?
Nasisi bodaboda mda wote tunawaza abilia na kipande cha boss imekula kwetu.

Kweli ni wapumbavu na marofa
 
Kaka umeingia leo kwenye politics?? Au na wewe ndoo wale wale wa mkumboo?? Vipi Arusha alisimama mda gani?? Acha ushabiki.. Tafuta jamaa aliyeipaa USA utajiri...
 
Tatizo haikuwa kusoma bali muda,km uliiona ITV cdhan km mtakuw a na swali
 
Lowasa ameonesha udhaifu sana nilitegemea kuiskia sera makin lakn hovyo kabisa.

Eti mkasome kwenye mitandao kwahyo sisi tulio vijijin ambako network mpaka ukapande mti imekula kwetu?
Sisi mamantilie tunaoshinda kupika na simu zetu n za tochi imekula kwetu?
Nasisi bodaboda mda wote tunawaza abilia na kipande cha boss imekula kwetu.

Kweli ni wapumbavu na marofa

Khaa!.Ebu Sema Koma We!.Kisha Temea Chini!
 
Kaka umeingia leo kwenye politics?? Au na wewe ndoo wale wale wa mkumboo?? Vipi Arusha alisimama mda gani?? Acha ushabiki.. Tafuta jamaa aliyeipaa USA utajiri...

Tokea Arusha mpk sasa afya yake imezorota sana .. unabisha? Mfuatilie uone ..
 
Back
Top Bottom