Hawa CDM /UKAWA bado dhana Yao wanayoitumia bado siielewi kabisa kwa sababu ukifuatilia kwa makini mikutano Yao utasikia Mara NGUVU YA UMMA, TUKO NA MUNGU sasa mimi nabaki najiuliza inamaana wao ndio wenye Mungu CCM hawana na je wao ndio wenye watu CCM hawana , mimi kwangu naona ni kama dhana mfu kwa sababu mtu huwezi kutamka tu kuwa tutawatoa madarakani kwa nguvu ya umma utafikiri wao CCM hawana watu na ukweli uliopo UKAWA watasubili sana kuitoa CCM madarakani,CCM bado ni Chama bora kabisa chenye sera bora na bado kitazidi kuongoza miaka nenda rudi hivyo UKAWA endeleeni kuota na Nguvu yenu ya Umma