Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Kama Lowasa angekuwa Rais inamaana tungekuwa vitani na Malawi, Rwanda, Congo, Somalia. Hapana kabisa aende akafanye biashara zake, tukumbuke tunachagua amiri jeshi mkuu na kiongozi wa taifa, tunachangua mtu atakayeweza kuamuru majeshi yetu yaingie vitani, tunachagua mtu atakayeweka sahihi watu wanyongwe, tukijichanganya itakula kwetu fasta.
Tatizo hawa vijana humu wameleweshwa viroba mkuu wanashinda humu wanabwabwaja kana kwamba wako fb, alafu hata kumbukumbu hawana basi kisa wameambiwa ya kusema
